Nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya

Sumu Boy

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
205
214
Kwema wadau!
Nina kama M 1 nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya ila sina uzoefu sana kwenye hiyo mambo kama kuna muelewa anayefahamu kilimo hicho anipe mwanga nisije ingia choo cha kike.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom