othuman sarota
Member
- Oct 16, 2015
- 24
- 7
Kwa wakulima wa morogoro nisaidieni bei ya mbegu za nyanya aina ya eden shanty na assila
Asssila ni kati ya 250000 mpka laki 3 kwa gram 25,hizo zingine sijajua.Kwa wakulima wa morogoro nisaidieni bei ya mbegu za nyanya aina ya eden shanty na assila
Nenda doma yupo wakala wao.