Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mimi ni mjasiriamali wa biashara ndogo(small scale) nataka ku transform to large scale businesses.kwaiyo nimeplan kuanzisha kiwanda kidogo cha kuzalisha unga wa sembe na ngano au pure drinking...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulimaji wa mbogamboga hususani figiri ni shughuli nzuri hufanywa na baadhi ya watu wanao jikita katika kujipatia kipato. sasa leo nami nimependa kukupa somo mpendwa wangu kuhusu hiki kilimo...
4 Reactions
11 Replies
9K Views
SERIKALI YAZIPA KANDARASI YA THAMANI YA 2.9BN KAMPUNI ZA VIJANA KUTEKELEZA MAFUNZO YA KILIMO CHA KITALU NYUMBA NA.MWANDISHI WETU Serikali kupitia Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Uzi huu ni special kwa ajili ya kujadili mambo mbali mbali yanayohusu maadhimisho ya siku ya wakulima ali maarufu kama 88 , ambapo msimu huu huambatana na Maonyesho ya teknolojia za kilimo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Mimi ni Raia mpya jamvini na nimelazimika kuja huku ili nipate msaada wa ushauri juu ya changamoto niliyonayo.Nianze kwa kueleza nimekuwa kwenye ajira kwa vipindi vinne tofauti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani viroboto wamevamia shambani ninapofuga mbuzi Kila madaktari wa mifugo waniamba nitumie roll on bila mafanikio
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Poleni na mihangaika ya hapa pale ndugu. Nimeanza kilimo cha bustani hasa mchicha lakini nakutana na changamoto kubwa hivi sasa mchicha wangu upo hatua ya kuvuna una majuma matatu hadi sasa...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
https://www.ajc.com/news/world/this-the-beginning-the-end-for-bananas-deadly-fungus-threatens-fruit/YP7qdPSlLquI1oJUIDBfuL/
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali wataalam naomba msaada wa majina aina ya dawa ambazo zinaweza kusaidia kuondoa tatizo hili, ukiachana na huo weupe pia kuna matunda mengine yanakuwa kama yanaungua yanakauka na kudondoka.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba anayefahamu dawa ya huu ugonjwa wa parachichi za budding Mmea unakuwa na utando wa rangi nyeupe kama unga
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi ni mtaalamu wa kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji. Na pia nimetunga kitabu cha ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji! Kitabu hicho nakiuza kwa shilingi 30000 tu. kitabu hicho pia kitakupa...
0 Reactions
36 Replies
19K Views
Ndugu wadau wa ujasiriamali kwa wenye majibu ya uhakika naomba kufahamishwa mbali na masuala ya uwepo wa eneo, mtaji, leseni ya biashara ya TRA na usajili wa BRELA ni taratibu zipi zingine...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwa anayejua gharama za ujenzi wa green house; hasa vifaa vyake kama poles na vyandarua naomba tujuzane. Karibuni
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Wadau nawasalimu, pia natoa pole kwa tukio la ajali ya moto iliyotokea morogoro . Ninatafuta mtama mweupe aina gadam au Karim. Tafadhali mwenye nao au anayejua unakopatikana tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wadau wote wa kilimo na ufugaji, muda wa kupata maarifa mapya ni huu mpaka tarehe 8/8. Tuepuke kufanya ufugaji na kilimo cha mazoea. Ukihudhuria maonesho haya utajifunza mengi kitaalam kati...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba muongozo mwakani nahitaji kulima kilimo cha maharage ya njano. Nahitaji kupata taaluma kidogo nipo wilaya ya Moshi. Pia kama nitapata na shamba la kukodisha itakua vizuri zaidi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Nauza broiler wana week 5 Wapo kibaha Bei 5900 Kar
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…