Uzoefu katika gharama za ujenzi wa green house kwa Tanzania

Habari wakuu, kwa anayejua gharama za ujenzi wa green house; hasa vifaa vyake kama poles na vyandarua naomba tujuzane!
Karibuni......,
Karibu sana

ujenzi wa green house hutegemea sana na eneo lako ili tuweze kukushauri ni vifaa gani unastahili kutumia kama net, polycover na vingine

mfano zipo insect net aina mbili Net 0.4 and Net 0.9
shade net zipo 55% , 65%, 75% na 90% zikiwa na rangi mbali mbali kama black, green, blue etc

zipo poly cover zenye 200 micron and 150 micron with three UV layer

zipo irrigation system (drip) zenye utoaji wa maji (flow rate 1.5, 2, 3 litres per hr ) na spacing 20cm, 30cm, 50cm etc
zipo pia dripline zenye wall thickness ya 0.2mm, 0.4mm 0.6mm etc

sasa eleze ya fuatayo ili usaidiwe
1. shamba lako liko wap
2. unatumia chanzo gani cha maji( tuweze kukuchagulia filter disc or screen )
3. unatengeza green house ya size gani
4. je ni mazao yapi ungependelea kulima sana kwa muda utakaokuwa unafanya shughuli zako
NOTE
Unaweza kuwekeza sana kwenye structure na miundombinu lakini kama management ya mradi wako itakuwa duni usitegemee kupata faida , ila green house inalipa sana mfano kwa morogoro sasa na mvua hizi tenga la nyanya ni katika ya 80k mpka 120k just imagine
karibu sana kwenye kilimo 0763347985, 0673000103
 
Asante sana mkuu;
1.nataka kufanyia Iringa
2.chanzo cha maji ni kutoka kwenye bomba za kawaida za jumuia,japo nimeyavuta mpaka nyumbani
3.size ya greenhouse nilitaka m8 kwa 5m (nataka kuanza na small scale kwanza)
4.kuhusu mazao nimelenga vegetables &fruits kama nyanya,hoho na bamia.
 
Bamia hapo toa hilo lima tu nnje halina haja ya kua ndani ya green house sababu halina faida kubwa pia nnje linafanya vyema tu, pia ukiweza anza na green house ya 15m kwa 16m,au 10m kwa 30m itakulipa mapema kuliko hilo dogo as linapokua kubwa gharama per sqm inapungua na pia mazao yanaingia mengi zaidi hivyo inakua at lower cost with higher profit
 
nimeku

nimekusoma sana kaka,shukrani....,
 
Yupo jamaa fundi mzr sn wa hizo green house ila kwa sasa yupo babati anatengeneza sn hizo vitu
 
Back
Top Bottom