William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Wakuu naomba muongozo mwakani nahitaji kulima kilimo cha maharage ya njano. Nahitaji kupata taaluma kidogo nipo wilaya ya Moshi. Pia kama nitapata na shamba la kukodisha itakua vizuri zaidi
Du! TOKEA 2016 hakuna aliyejibu. Tatizo nini?