Je huu ni ugonjwa gani kwenye Korosho?

Lovery

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,501
3,010
Tafadhali wataalam naomba msaada wa majina aina ya dawa ambazo zinaweza kusaidia kuondoa tatizo hili, ukiachana na huo weupe pia kuna matunda mengine yanakuwa kama yanaungua yanakauka na kudondoka.
IMG_20190808_160941_6.jpeg
IMG_20190808_161311_4.jpeg
 
Tembelea kwa bwana shamba aliye karibu nawe ukapate msaada
 
Lakini kama matunda yanaweka madoa meusi na kudondoka ,hapo yaweza ikawa blight au ni mbu( kwa lugha ya wakulima wa pwani) au tea mosquito!

Kama ni blight na unafanya conventional farming na pia kifedha unajiweza tafuta NATIVO
 
Asante sana, bado sijapiga sulfur ya poda, nilikuwa natumia ya maji yenye kiambata cha Hexaconazole 50, nitatafuta dawa hiyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom