Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Salaam; Nimepata habari kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Bashe ametoa maelekezo kwa vyama vya ushirika nchini kusimamia uzwaji wa mpunga na mahindi upitie kwenye vyama hivyo kwa utaratibu wa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu wazima jamani! Mimi ndo nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na nina muda wa mwezi sasa. Tatizo vifaranga wangu wana ugonjwa wa mafua naweza kuwapa dawa gani? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri. Nina wazo la kuingia shambani, nilime zao gani kati ya nyanya na kabeji? Na ninahitaji kupata zaidi ya million 2 katika kilimo, nilime kiasi gani ili kufikia lengo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kauli ya Mheshimiwa bungeni kuwa bei iliyopanda ya mahindi ni faida kwa wakulima hakika si kweli na uwazi kuwa hujui tabu za wakulima. Mahindi huanza kuvunwa mwezi wa 4 hadi wa 7 na ndiyo miezi...
11 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakuu Habari,mwenye Ufahamu Wa Matumizi Na Faida Za Super Gro Kwenye Nyanya Anijuze.Nasikia Ina Umuhimu Sana.
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Wadau kwa Hali ya mvua mwaka huu kilimo Cha mpunga chaweza kuwa na manufaa,nataka kuwekeza mikoa ya shinyanga na tabora,ushauri kwenu Ni mda gani sahihi wakusia mbegu kabla ya kupanda-naweza mwaga...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu, mdau wetu Amida Suleiman anaomba msada wa kupata kiwanda kinachosindika matunada. Ila kiwepo Dar es Salaam.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza,bila majibu, Kwa nini ujio wa Nzige unachukuliwa kuwa ni tatizo badala ya fursa?unachohitaji ni nyavu ndogo zilizotegeshwa njia watakayopita.technologia ipo ya kujua hilo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wajuvi wa mambo, salaam kwenu wadau, Limetolewa tangazo rasmi sasa kwa pori Tengefu la Kigosi almaarufu Game lilioko ukanda wa magharibi mwa nchi yetu kuwa Hifadhi ya Taifa. Binasfi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenbro ni 'Dual Purpose Chicks' ambao ni kienyeji walioboreshwa (improved) na waliendelezwa na kampuni ya kifaransa na kuzalishwa Kenya, wana rangi nyekundu na wana maumbo makubwa sana na hasa...
11 Reactions
142 Replies
60K Views
Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kilimo cha umwagiliaji ndio mkombozi na fursa ya uhakika. Unalima wakati muafaka, zao muafaka wakati muafaka. Tungeweza kushawishi viwanda vya mkakati kwa uhakika wa malighafi, pia miundombinu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau bila kupoteza wakati. Kisarawe ni Wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani, na hapa nalenga eneo la Kisarawe Maneromango au kama wenyeji wapaitavyo Mango, nimeweza kugundua yafuatayo ambayo ndyo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Serikali imewakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo yao hasa ng’ombe kwani kufanya hivyo kunashusha thamani ya ngozi za Tanzania, na badala yake imewataka waweke alama za hereni...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata! Vilevile na pilipili hoho...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kinahusika sana tu na ninalotoka kubandika hapa. Kwenye ma group kadhaa Taasisi ya MKIKITA wako "aggressive " na matangazo kemkem kwamba ukiingia nao mkataba kuhusu mhogo...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF. Naomba kufahamishwa kuhusu kilimo cha mlonge. Je, unastawi katika udongo wa aina gani, matunzo yake, namna ya kupata mbegu zake pamoja na soko lake.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miaka kama minne hivi nilikutana na bro mmoja anafanya kazi shamba la mzungu, alikuwa ameacha kulima viazi. Nikamuuliza kwanini, akasema kulima ni ujinga, akaniambia kuwa gunia la viazi ni...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…