Kichwa cha habari kinahusika sana tu na ninalotoka kubandika hapa.
Kwenye ma group kadhaa Taasisi ya MKIKITA wako "aggressive " na matangazo kemkem kwamba ukiingia nao mkataba kuhusu mhogo utatoka. Wamekokotoa mahesabu kwamba kwasababu wao ni watalaam na wana uzoefu hawaoni sababu kwanini usipate kg 20 kwa shina moja ambayo katika miche 4000 kwa eka utaona ni pesa nzuri.
Mimi na wengine wengi tu tulilizwa na hiyo taasisi pamoja na kusain mikataba na pia alishafikishwa kwa DC temeke mara mbili huyo kuongozi wao na alirejesha baadhi ya pesa. Mpaka sasa anadaiwa na watu kibao kihusu longolongo kwenye miradi ya mhogo kuku na papai na mchachai.
Mimi nililima mhogo niliuza kwa jitihada zangu mwenyewe baada ya hii taasisi kuniacha hewani pamoja na mikataba na gharama kibao za ufuatiliaji shamba na utalaam.
inatosha najua uongozi wa mkimkia mpo humu na hii ni habari mbaya kwenu mtajaribu kuyeyusha lakini haiwezekani muendelee Kuwaingiza watu mkenge