Kuna mambo yananitatiza, naombeni ushauri wenu

canular

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
858
812
Wakuu naombeni ushauri.

Nina wazo la kuingia shambani, nilime zao gani kati ya nyanya na kabeji?

Na ninahitaji kupata zaidi ya million 2 katika kilimo, nilime kiasi gani ili kufikia lengo?

Ushauri wako aidha nikalime au nifanye kazi ya umeneja katika pub fulani maeneo ya Kunduchi?

Na kama ni kilimo nilime zao gani kati haya mawili; nyanya au kabeji?

Karibuni kwa mchango wa mawazo nifanye lipi kati ya hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante nimekalibia kukupa mchango wa mawazo, 1. Nenda moja kwamoja kwenye hio pub kwasabab shamba lipo uhakika mda wowote lkn sio Ajira Mzee

2.Unaweza Fanya vyote! Kwa wakati mmoja lkn ukianza na kuajiliwa kwa hio pub.
 
Sawa mkuu ila kidogo shamba liko mkoani sio kwamba lipo dar sjui hapo nifanye lipi mkuu
Ahsante nimekalibia kukupa mchango wa mawazo, 1. Nenda moja kwamoja kwenye hio pub kwasabab shamba lipo uhakika mda wowote lkn sio Ajira Mzee

2.Unaweza Fanya vyote! Kwa wakati mmoja lkn ukianza na kuajiliwa kwa hio pub.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaribia mkuu
Hapa nakushauri ufanye moja tu
Usifanye mambo mawili kwa wakati mmoja

Kabla hujafanya maamuzi fikiria kuhusu haya yafuatayo

1:,jichunguzemwenyewe kama unapenda kilimo
2:unalima nini na utauza wapi pia gharama za kuhudumia shamba ni kiasi gani
3; umejipangaje kukabiliana na changamoto

Fanya kazi ya pub kwa malengo kusanya mtaji mkubwa kiasi wakati huo huo endelea kujifunza kwa watu wanalima
Ukipata off nenda sehemu za mashambani kujifunza zaidi
Nakutakia kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom