Wadau naomba kujua mwenye uzoefu kuku wangu wa mayai wana mwezi wa Saba na nusu ila bado kwa siku naokota mayai 15 mpaka 20 wako 100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini!
Mbuzi wangu wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa kuzunguka. Yaani huu ugonjwa mbuzi akiugua anashindwa hata kutembea (anabaki kuzunguka tu hapo hapo) na unaonekana huwa unaathiri upande...
Nakaribisha washirika/ partners tufanye biashara ya kuuza pembejeo za kilimo mkoani Mbeya hususani wilayani Rungwe, nina uzoefu wa kutosha wa biashara hii na nina maduka 2 tayari.
Karibu PM...
Habari wadau/wataalamu,
Katika kutatua changamoto za gharama ya kilimo nimekutana na hii teknology ya kutumia Sprinkler guns kumwagilia eneo kubwa na kupunguza gharama ya kulipa vijana wa...
"Kijana shtuka lalamika huku unapambana ndio msemo wetu".
Fursa za kufanya mtaji chini ya Tsh.10,000 ndani ya wiki unafanya maisha.
Karibu
1. Biashara ya mboga za kijani mfano halisi ni...
Iko hivi,
Nataka nijiingize katika kilimo cha mboga mboga especially nyanya, pilipili hoho, vitunguu na bilinganya.
shamba iko ekari 10 tayari,na nimefanya survey tayari.
Eneo lilipo hilo shamba...
In order to receive development assistance, Tanzania has to give Western agribusiness full freedom and give enclosed protection for patented seeds. “Eighty percent of the seeds are being shared...
Kwanza pole na majukumu ya siku nzima!
Wadau katika kilimo nimeamua kujiwekeza katika kilimo cha papai nilinunua mbegu za pakiti na za kisasa miche niliiweka shambani tarehe 20/12/2019 sasa...
Habari ya muda huu wadau,
Nafikiria kuanza kilimo cha mahindi ili kuangalia upande mwingine wa fursa za kutika kimaisha. Nimepanga kutafuta mashamba maeneo ya Bagamoyo au Msata kwa ajili ya...
Wanajamvi wasalaam,
Mimi ni kijana, mkulima mdogo wa matunda na mbogamboga, ninapambana na hali yangu yenye changamoto lukuki. Moja ya changamoto kubwa inayonielemea ni kuhusiana na soko la hizi...
Baada ya kuona fursa hii kupitia jukwaa hili nimeamua kuifanyia kazi.
Mwaka huu mwezi wa 8 nikasafiri kuja Iringa mji wa Mafinga nikafanya research na kugundua kweli kilimo hiki kinafanyika na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla...
Kama Wizara husika itasimamia sekta ya uvuvi ipasavyo na kutoa elimu ya kutosha kwa wavuvi ikiwa ni pamoja na kuwatengea ruzuku katika bajeti kwa kipindi cha miaka mitano nina uhakika sekta hii...
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo...
Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi.
Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana,
Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye...
Mbuzi wangu anasumbuliwa na kidonda kikubwa sehemu ya tumbo. Kina wiki sasa. Mara ya mwisho alikuja daktari akamsafisha na hydrogen peroxide, akamshona na kuacha sehemu wazi ya kupitisha...
Wadau naomba kupata uzoefu kwa Wafugaji wa Kuku juu ya matumizi ya gamba la Kobe katika kukuza utagaji wa mayai kwa kuku. Nimenyetishwa kwamba ukitaka kuku watage mayai na kuzaliana kama...
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa mambo ya uwekezaji katika mashamba ya chumvi.
1. Yapi maeneo sahihi ya uwekezaji
2. Upatikanaji wa maeneo husika na garama zake
3. Changamoto za kilimo hiki...
Wakulima wamekuwa wakihamasishwa kufanya kilimo cha umwagiliaji ili kuweza kupata faida zaidi. Wakulima wadogo wana uelewa wa aina chache za mifumo ya umwagiliaji kwa mfano mfumo wa matone...