Uwakala wa pembejeo za kilimo

Shilala

Member
Apr 28, 2019
9
16
Nakaribisha washirika/ partners tufanye biashara ya kuuza pembejeo za kilimo mkoani Mbeya hususani wilayani Rungwe, nina uzoefu wa kutosha wa biashara hii na nina maduka 2 tayari.

Karibu PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,Taarifa zako zinahitaji kudadavuliwa zaidi mfano,Unahitaji wabia wa aina gani,wenye sifa gani,watafaidikaje na ubia huu.Ni muhimu ukawapa nyama zaidi kuhusu fursa zilizomo,matarajio yako kutoka kwao.

Unaweza kuwa na fursa nzuri ili jinsi unavoiweka mezani ikawa vigumu sana kuiuza au ukapa wrong people.

Kila la heri
 
Nahitaji wazalishaji/ wasambazaji wa pembejeo za kilimo mimi nina mtandao wa wakulima hususani walayani Rungwe mkoani Mbeya na maduka ya pembejeo ya kuuza bidhaa za pembejeo.Hivyo utafaidika kwa kupata mdau wa kuuza na kusambaza bidhaa zako kwa wakulima mkoani Mbeya.

Tutakubaliana aina ya pembejeo ulizonazo,bei ya kuniuzia/kusambazia pembejeo na pia uwe na leseni na vibali halali vya biashara.

Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom