Habarini ndugu wa JF,
Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa...
Ngombe wangu anakohoa kwa muda mrefu sasa. Nilimtibu kwa penstrep àkawa Kama amepona. Sasa vimerudi.
Tena nywele za mgongoni zimesimama. Ni tatizo gani na matibabu yake Ni Nini.
Msaada tafadhali
Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo.
NB...
Ndugu wasomaji, natamani na nahitaji niingie kwenye kilimo Cha maharage, nipo Njombe, ni Aina ipi inafaa saana hasa yenye Bei nzuri na mavuno mazuri niitumie?
Kuku wangu ana wiki na nusu sasa anasumbuliwa na huo ugonjwa ambao bado sijajua ni ugonjwa gani. Kiukweli,
anakohoa na kupiga chafya halafu ukimsikilizia kwa muda flani hivi unasikia kama...
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu,
Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe.
Natunguliza shukurani,
Thnx.
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500.
Naomba msaada mwenye kujua...
Wafugaji wengi hufanya makosa makubwa sana ya kuanza kujenga banda na hatimae kuanza kufuga, bila kuwaza namna ya kutengeneza chakula mwenyewe.
Bila kuwa na chakula chako mwenyewe, mifugo inatesa...
Waungwana habari ya mchana huu,
Ni matumaini yangu mnaendelea vizur na majukumu yenu ya kila siku kama kichwa kinavyojieleza Hapo juu natafuta hiyo dawa kwa ajili ya kuua magugu kwa bei ya jumla...
BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa.
Unaweza kusema ndege huyu...
Haya ni matunda ambayo yanapatikana sana Asia na pia America,
Ni matunda ambayo yana ladha kati kati ya pears na Kiwi Kwa wale waliowahi kula Kiwi fruit.
Haya matunda ni ghali sana na kuna...
Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.
1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga...
Naonaga watu wengi sana wanalalamika wameambiwa wafuge sungura na mwisho wa siku wanao wahamasisha wanaingia mitini.
Ufugaji wa Sungura ni kwamba wafugani wameshindwa ku tengeneza demand...
Habari za jioni wakulima wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza ninahitaji mbegu za Azolla kwa chakula cha Kuku na mm napatikana Korogwe, Asanteni
Habar wana jamvi? Samahani naomba kujuzwa gharama ya kuku wa kienyeji mkoani Singida nahitaji wa kufuga anayekaribia kutaga ni shilling ngapi kwa kila kuku mmoja? Na nimaeneo gani/ kijiji gani...
Natumai mko poa
Mtakumbuka uzi wangu huu
Mvomero: Upatikananaji wa Ardhi na Mazao yanayostawi - JamiiForums
Wengi mlinishauri niende pale Halmashauri ya Mvomero. Nilifanya hivyo ila cha ajabu...
Wakuu habari zenu naamini wengi wetu tutakuwa ni wazima na wale wagonjwa tuzidi kuwaombea ili warejee katika hali yao ya kawaida
Katika pitapita zangu nmekutana na post moja ikionyesha mchanganuo...
Habarini zenu wapendwa
Naomba kupewa msaada na maelezo katika baadhi ya mambo nitakayo yaainisha hapo chini.
Kwanza kabisa mimi ni kijana mtafutaji kama wengi wetu tulivyo nilipoenda kijijini...
Habari wanajamvi na wataalamu wa kilimo
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimekuwa na utaratibu wa kuzunguka shamban kwangu mara kwa mara ,,,Leo nimegundua kuna wadudu wa aina mbili ambao...