Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi. Kutokana...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Habari Tanzania! Haya leo naongea na nyinyi Wataalamu wa Mifugo. Kwanini muweze kwenye Kuku na vipi kuhusu hivi vitoweo kama Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo tukawafanyia miujiza kama hao Makuku bwege...
4 Reactions
21 Replies
931 Views
Nilienda kununua mbolea ya ruzuku nikakutana na hi mbolea ya fomi otesha.sikuwahi kutumia na taget yangu ilikuwa dap na nimeikosa,ikabidi nichukue fomi otesha. hi mbolea kwnye mfuko wake...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukilinganisha na wenzetu wa Kenya, watanzania wengi tuko bize na kilimo cha kawaida (traditional farming), tukidhani ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa kipato. Ukiangalia mitandaoni kwenye suala la...
1 Reactions
3 Replies
568 Views
In this insightful article, we’ll find which countries waste the most food and the implications this practice brings along. If you want to skip our overview of the environmental and economic...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Leo wafugaji nashukuru mungu kwa muda huu mzuri ambapo nitakwenda kutoa elimu juu ya ugonjwa wa ndorobo kwa ng'ombe; --- Ugonjwa wa (ndorobo) Trypanosomiasis kwa Ng'ombe --- Sababu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunaomba mwaka huu uwe na changamoto chache, faida nyingi, na miradi inayokwenda kama ulivyopanga (au angalau karibu 😅). Tangu mwezi wa 6 mwaka jana, tumekuwa tukipokea swali hili mara kwa mara...
2 Reactions
2 Replies
222 Views
Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana...
1 Reactions
7 Replies
630 Views
Training, Research, Regulations and PRODUCTION. 1). Utafiti wa kilimo(TARI) 2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI) 3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA) 4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA) 5)...
4 Reactions
6 Replies
363 Views
Ufugaji wa samaki kwa vizimba ni njia rahisi na yenye tija kwa wafugaji samaki kibiashara. Nitakuelezea hapa hatua na gharama zake na mambo mengine ya kuzingatia. 1.Vibali vya uendashaji wa...
7 Reactions
49 Replies
21K Views
Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali...
0 Reactions
2 Replies
427 Views
Naombeni msaada kwa wajuvi. Kuna namna mtu anaweza jua ukubwa wa shamba kwa kutumia simu yake?
1 Reactions
9 Replies
591 Views
Wakuu, Migomba ni "heavy feeders". Kama kwa sasa unavuna mikungu ya pichani kulia na unatamani kuvuna hiyo mikubwa ya kushoto hakikisha kwanza hulinyimi shamba lako maji kisha shambani kwako...
5 Reactions
13 Replies
933 Views
Habarini wanajukwaa.... Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe...
2 Reactions
6 Replies
581 Views
Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024. Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app...
3 Reactions
5 Replies
468 Views
Nipe mchanganyiko mzuri wa chakula il bata atage mayai zaid ya 20
2 Reactions
4 Replies
356 Views
Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…