Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waganda hasa Bazzkulu. Salamu. Mambo yanakwenda vizuri nchini Uganda licha ya ufisadi wa baadhi ya Watumishi wa Umma na baadhi ya vipengele vya tabaka la kisiasa. Jana usiku, afisa kutoka Benki...
1 Reactions
6 Replies
794 Views
Taarifa ya Polisi inasema kuwa Mtuhumiwa Taheed aliamua kumchukua mtoto kwa kipimo cha DNA na matokeo yakawa hasi kuwa mtoto hawajafanana vinasaba. Aliporudi nyumbani na baada ya malumbano...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
My Take Rwanda tayari,Uganda tayari. --- The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday. President Museveni has re-echoed the need for...
3 Reactions
121 Replies
8K Views
  • Redirect
Rais Museven amepiga Marufuku Nguo za Mitumba kuingiza nchini mwake akidai Hizo ni Nguo za marehemu Wazungu Hapa Bongo Sidhani kama angeeleweka 😂😂😂 Source: Kitenge tv Nawatakia Sabato Njema 😄
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewaonya Wananchi Nchini humo juu ya kununua na kutumia nguo za mitumba akisema hizo ni nguo zilizokusanywa baada ya watumiaji wake (wazungu) kufariki na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Siku nyingi nchi za Afrika ya Mashariki zilikubaliana kupiga Marufuku mavazi ya mitumba lakini zikatishwa na vikwazo vya Marekani. Lakini mpaka sasa Rwanda na hivi karibuni Uganda zimejipiga kifua...
2 Reactions
Replies
Views
Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza...
13 Reactions
23 Replies
1K Views
Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mauaji hayo yametokea katika Mji wa Mpondwe uliopo Magharibu mwa Uganda ambapo pia watu sita wametekwa nyara na wanamgambo wa vikundi vya waasi wanaodaiwa kufanya shambulizi hilo. Shambulii hilo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tarehe 02nd June 2023, maofisa wa uhamiaji wa Uganda walikamata silaha za Falme za Kiarabu (UAE) zikipelekwa Sudani kupitia Chad kulingana na makala ya WSJ (Wall Street Journal) ya leo tarehe 10th...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Redirect
Rais wa Uganda Yoweri Museveni Jumatano amishutumu Benki ya Dunia kwa kutumia pesa kujaribu "kuishinikiza" serikali juu ya sheria yake yenye utata dhidi ya wapenzi wa jinsia moja Kauli ya Bw...
1 Reactions
Replies
Views
Kiufupi ni kwamba hii Dunia inaelekea mwisho Wakati tunalia na IGA ya DP World tuwaangalie World Bank nao na Masharti yao kwa ndugu zetu wa Uganda Unaweza usiwalaumu kabisa Waarabu hata kama...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Yameona mwanga na kuamua hayapo tayari kuwahishwa kwenda kule kwa mautamu ya akhera. Japo natoa wito yasiaminiwe sana kihivyo, inaweza ikawa zuga ya kupata fursa ya kuachiwa yajilipue sehemu yenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
12 May 2021 Kampala, Uganda Ceremonies for the 6th swearing-in of President Yoweri Museveni started early in Kololo, Kampala on Wednesday 12, May 2021 President Museveni’s full speech on his...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo. Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo...
0 Reactions
3 Replies
529 Views
Back
Top Bottom