Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Shule nchini Uganda zilifungwa tangu Machi 2020 ili kudhibiti usambaaji wa COVID19 na zimefunguliwa rasmi na kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo Baadhi ya wanafunzi waliendelea kusoma kwa...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Shirika la Umoja wa Matifa linaloshughulika na Watoto (UNICEF) limeitaja Uganda kuwa nchi iliyofunga shule kwa muda mrefu ambao ni wiki 77 japo wana idadi ndogo ya maambukizi Watoto zaidi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
President Museveni has revealed that schools and the rest of the economy will be fully reopened in January 2022, urging Ugandans to flock the nearest health centres for vaccination. He said that...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge la Uganda limetangaza kwamba wabunge ambao hawajapokea chanjo, hawataruhusiwa kuhudhuria vikao vya bunge hilo kuanzia leo. Naibu wa spika Anita Among, amesema kwamba hatua hiyo inalenga...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
"Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
PRESIDENTIAL STATEMENT TO THE NATION ON PROGRESS OF THE COVID- 19 RESPONSE Date: 22nd September 2021 Dear Countrymen and Countrywomen, Since my last address to you on the 30th of July 2021...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Uganda inakusudia kuchanja watu wasiopungua milioni sita ifikapo mwisho wa mwaka, kabla ya shule kufunguliwa. Karibu watu milioni 4.8 ya hao wameorodheshwa kama kipaumbele cha juu, na ni pamoja...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
President Museveni on Wednesday ordered for the reopening of places of worship but with strict adherence to the Standard Operating Procedures (SOPs) to avoid further spread of coronavirus...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
The Health ministry yesterday urged Ugandans to be vigilant, get vaccinated and be vocal in sharing correct and verified information to “reduce the chances of entering a third Covid-19 wave. The...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Marekani imeipatia Uganda dozi 647,080 za chanjo ya corona ya Moderna, ambapo dozi hizo zimefika Uganda Jumatatu, Septemba 7 Hadi kufikia Agosti 30, watu 1.37 alipokea chanjo ya Astrazeneca na...
1 Reactions
0 Replies
881 Views
Waziri wa elimu wa Uganda ameamuru walimu nchini kote kupata chanjo ya Covid-19 vinginevyo wazuiwe kuingia madarasani shule zitakapofunguliwa. Janet Museveni, ambaye ni mke wa Rais Museveni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Starting September 3, all travellers arriving in Uganda, including citizens, will be subjected to a mandatory PCR Covid test before they are cleared to enter the country. The Ministry of Health...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Wananchi nchini #Uganda wameonekana kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya #COVID19 ambapo wengi wamelalamika kutopatiwa chanjo kwa wakati Ongezeko la wanaohitaji chanjo limetokana na ongezeko la...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
KAMPALA, Uganda -- At a COVID-19 vaccination site in the Ugandan capital, Kampala, tempers flared among those waiting for scarce AstraZeneca jabs, with some accusing others of trying to jump the...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
The government has announced that Covid-19 vaccination will resume today and that medical students will be prioritised in this third rollout of vaccines to allow for the reopening of medical...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mamlaka za nchini Uganda zimesema zaidi ya watu 800 na wateja wa idadi siyojulikana kutoka kampuni kadhaa katika jiji la Kampala walipokea chanjo feki za ugonjwa wa Covid-19. Ripoti hiyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom