Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Viongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine wameunda muungano wa upinzani. Robert Kyagulanyi wa vugu vugu la People Power kwa pamoja na Dkt. Kizza Besigye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewaagiza mawaziri wote kupima COVID-19 kabla ya kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri kila Jumatatu. --- “My test results turned out negative on Saturday...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya vya #COVID19 na maambukizi yamefikia 705 huku idadi ya waliopona ikiwa 299 Katika visa hivyo, watano aliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wizara ya Afya imethibitisha Wagonjwa wapya 8 baada ya sampuli 2,423 kupimwa Juni 09, 2020 na kufanya jumla ya Visa nchini humo kufikia 665. Wagonjwa wote wapya ni Waganda Kati ya Wagonjwa, wanne...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imetangaza Wagonjwa wapya 07 wa #COVID19 baada ya sampuli 2,532 kupimwa jana. Wagonjwa wote ni Waganda na jumla ya maambukizi imefikia 686 Wagonjwa 3 wamepatika katika sampuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa 30 baada ya sampuli 3,758 kufanyiwa vipimo kwa siku ya jana. Idadi ya maambukizi nchini humo imefikia 646 Katika sampuli hizo 3,758...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imesema visa vipya 35 vimethibitishwa nchini humo baada ya sampuli 2,267 kufanyiwa vipimo. Kati ya sampuli hizo 1,412 ni kutoka mipakani na 855 ni za wananchi wa kawaida Vilevile...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wizara ya Afya yarekodi visa vipya 40 vya COVID19 nchini humo na idadi ya maambukizi hadi sasa ni 457, Wagonjwa wapya wote ni raia wa Uganda. 23 kati yao ni madereva wa malori waliotokea Sudan...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
UPDATE: Uganda confirm 15 new #COVID19 cases. The total confirmed cases are now 522. • 4 are truck drivers who arrived from Tanzania via Mutukula • 2 are truck drivers from Busia • 9 are among...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Wizara ya Afya imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 15 na visa vya COVID19 nchini humo vimefikia 522 huku idadi ya waliopona ikiwa 82 Katika wagonjwa hao 15, wanne ni madereva wa malori...
0 Reactions
Replies
Views
Wizara ya Afya imetangaza visa vipya 18 vilivyothibitishwa baada ya sampuli 1,086 kufanyiwa vipimo jana, maambukizi nchini humo yamefikia 507. Kwenye sampuli 1,086 zilizopimwa, 774 ni kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imesema watumishi 7 wa sekta ya afya nchini humo wamethibitishwa kupata maambukizi ya COVID19 Waliopata Virusi hivyo ni manesi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Madereva 5 wa magari ya mizigo wamekataliwa kuingia Uganda baada ya kukutwa na maambukizi ya #CoronaVirus. Sampuli za watu 655 zilipimwa mpakani na madereva hao wakakutwa, na kukabidhiwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Total, a global, integrated energy producer and provider, has expressed its intention to build the 1,400km-long oil pipeline from Uganda's Lake Albert to Tanzania's northeastern port of Tanga as...
5 Reactions
28 Replies
12K Views
Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya #CoronaVirus Nchini humo kufikia 281 Wagonjwa 21 ni madereva wa malori walioingia Uganda kupitia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Construction of Isimba bridge excites locals FRIDAY JANUARY 24 2020 Project. The pillars that are being constructed to hold the Isimba Bridge. PHOTO BY FRED MUZAALE In Summary Progress. Eng...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Can someone translate this into English?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…