“Kwa wanafunzi narudia hatujafunga shule au vyuo ili mukapuyange huko mitaani, maana nashanga tumefunga ili mtulie nyumbani ila kila siku nawakuta mitaani mnahangaika mara mkumbatiane na...
“Tumeamua kufunga mipaka yote kwa sasa baada ya mgonjwa wa kwanza wa corona kubainika, iwe ni usafiri wa anga,majini au ardhini baki hukohuko kwenu, hatumkomoi Mtu ila tunajikinga, ndege zote...
Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Covid19 nchini Uganda. Waziri wa Afya Dkt Ruth Aceng amesema mgonjwa huyo ni mganda mwenye miaka 36 aliyerudi kutoka Dubai 21 Machi, saa nane usiku...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kupiga marufuku mikutano mikubwa ya umma ikiwa ni pamoja na harusi, huduma za kanisa na Jumat kwa siku 32 zijazo kwa nia ya kusaidia kuzuia kuenea kwa...
Breaking: President Museveni orders a 30-Day shutdown of Churches, Schools over COVID-19
March 18, 2020
President Museveni has directed a 30-day ban of all public gatherings in Uganda as...
Uganda’s State House Health Monitoring Unit has arrested two Tanzanian nationals who were allegedly found with stolen government drugs worth Shs 35m that were meant to be brought in Tanzania...
Msichana wa Kiganda, aliyesemekana kuwa mmoja wa wale waliosafirishwa nchi ya Mashariki ya Kati ya Oman amefariki. Ripoti zinazounganisha kifo chake kimetokana na mateso na ukatili.
Vyanzo vya...
Kitabu cha Guiness cha Rekodi za Dunia ambacho huchapishwa kila mwaka kikibeba rekodi za mafanikio ya juu kabisa ya binadamu katika nyanja mbalimbali na maajabu ya asili(Guinness World Book of...
The Territorial Police in Bushenyi has in custody two suspects, who form part of the group that viciously assaulted an elderly woman.
The third and prime suspect, who was caught on video caning...
Waswahili husema samaki mmoja akioza, jua wote wameoza, na wahenga usema kwamba " Ukiambatana na mlevi, lazima utanuka pombe, ila ukiwa karibu na mti wa uaridi, lazima utanukia marashi ya uaridi...
Uganda Police has resolved to have the salutation “sir” from the title of women officers dropped in a raft of new reforms.
The police bosses will also address the issue of gender inequality after...
Police in Kawempe, a city suburb have arrested a bricklayer on accusations of killing his seven-year-old daughter over failure to do homework.
The suspect, who is a resident of Jinja–Karoli in...
Wanaume wawili nchini Uganda Joseph Kintu na Sulaiman Balinya wameifungulia kesi Taasisi moja inayohusika na masuala ya afya wakidai ilisambaza condom feki ambazo zilipasuka wakati wakifanya tendo...
Wanaharakati nchini Uganda wamesha mkusanya saini milioni mbili ikiwa ni matakwa ya mahakama ya ICC ili iweze kupokea mashitaka husika.
Wanadai kuwa Museveni amehusika na uhalifu wa mauaji ya...
He said:
I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni
Yaani akimaanisha ya kwamba:
Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini...
Rais Museveni ametenga fedha maalumu kwa ajili ya kuongeza vikundi vya ujasiria mali vya wanawake wa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) ili kuboresha zabuni yao.
Gen Muhoozi...
Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa
Msemaji wa Magereza, Frank Baine...
Huko nchini Uganda kuna mama mmoja ambaye amezaa watoto 44 akiwa na mume mmoja ambapo mwanaume huyo baadaye alikiimbia familia hiyo na kumuacha mama huyo akiendelea kuitunza familia.
Mama huyo...
Mchungaji Florence Lanyero, wa kanisa la Rest Arena lilipo Gulu, amekamatwa nyumbani kwake Februari 23, kwa kumiliki sare za jeshi na vifaa vingine vya kijeshi
Jimmy Patrick Okema, msemaji wa...
Muhwezi Benson and Akankwasa Sophie Wamedai fidia ya Tsh milioni 376 kwa kanisa la ‘Church of Uganda’ baada ya kufuta ndoa yao iliyogharimu takribani milioni 471 kuiandaa
Mwanasheria wa wanandoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.