Yupo wapi huyu mtoto wa Idd Amini ?

usinijibu hivyo

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
251
500
Mwaka 1972 Idd alimtembelea Mzee Kenyata Kenya
alipotua uwanja wa ndege,Idd alishuka na mwanae mdogo na baada ya Mzee Kenyata kumpa mkono kumsalimia dogo alipiga salute...
Nani anajua wapo wapi watoto wa Idd na wanajipanga kufanya ninj?
 
Gullam

Gullam

JF-Expert Member
5,244
2,000
No alimuua kwa kumpiga risasi. Idd Amin Dadaa alimfundisha huyo dogo kutumia pistol, kwa kuwaua kuku na kupiga vitu Vingi vingi ili kumpa uhodari wa kutumia siraha.
Kuna siku alitoka kuoga, ghafla akakutana na dogo ameshika mguu wa Kuku na kumuambia mikono juu, ndipo alipomuomba aache huo mchezo. Baadae akaichukua na kumpiga nayo na kumuua moja kwa moja.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
98,327
2,000
dega

dega

JF-Expert Member
2,156

Punguza chumvi kidogo hakiliki
 
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
1,777
2,000
No alimuua kwa kumpiga risasi. Idd Amin Dadaa alimfundisha huyo dogo kutumia pistol, kwa kuwaua kuku na kupiga vitu Vingi vingi ili kumpa uhodari wa kutumia siraha.
Kuna siku alitoka kuoga, ghafla akakutana na dogo ameshika mguu wa Kuku na kumuambia mikono juu, ndipo alipomuomba aache huo mchezo. Baadae akaichukua na kumpiga nayo na kumuua moja kwa moja.
mkuu habari hii umeipata wapi
 
Arien

Arien

JF-Expert Member
10,036
2,000
No alimuua kwa kumpiga risasi. Idd Amin Dadaa alimfundisha huyo dogo kutumia pistol, kwa kuwaua kuku na kupiga vitu Vingi vingi ili kumpa uhodari wa kutumia siraha.
Kuna siku alitoka kuoga, ghafla akakutana na dogo ameshika mguu wa Kuku na kumuambia mikono juu, ndipo alipomuomba aache huo mchezo. Baadae akaichukua na kumpiga nayo na kumuua moja kwa moja.
ohooo kumbe
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
5,591
2,000
Hivi huyo nduli wa magogoni wana undugu naye? Maana tabia zao zimeshabihiana sana.
Itakuwa ndio hivyo. Wewe ulishaona wapi kwingine ukatili wa aina hiyo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
njumu za kosovo

njumu za kosovo

JF-Expert Member
360
500
No alimuua kwa kumpiga risasi. Idd Amin Dadaa alimfundisha huyo dogo kutumia pistol, kwa kuwaua kuku na kupiga vitu Vingi vingi ili kumpa uhodari wa kutumia siraha.
Kuna siku alitoka kuoga, ghafla akakutana na dogo ameshika mguu wa Kuku na kumuambia mikono juu, ndipo alipomuomba aache huo mchezo. Baadae akaichukua na kumpiga nayo na kumuua moja kwa moja.
Hata Mimi niliiona articles Fulani kumhusu huyo dogo wa zamani ni kwamba kutokana na tabia ya babu Amin kusikiliza sana waganga na tawire kama zote kuna mganga akamtabiria kua Luna mwanae atakuja kumpindua na kumuua Ili atawale yeye hapo ndipo akaamua ammalize nakumbuka hivyo
 
K

kina kirefu

JF-Expert Member
1,631

Ukosahihi kabisa.hakumchelewesha alivoirudisha mikononi mwake alimfumua bilakujali
 
Renegade

Renegade

JF-Expert Member
5,395
2,000
Hata Mimi niliiona articles Fulani kumhusu huyo dogo wa zamani ni kwamba kutokana na tabia ya babu Amin kusikiliza sana waganga na tawire kama zote kuna mganga akamtabiria kua Luna mwanae atakuja kumpindua na kumuua Ili atawale yeye hapo ndipo akaamua ammalize nakumbuka hivyo
Nakumbuka kama alikuwa Moses Amin?
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
23,481
2,000
Nakumbuka kama alikuwa Moses Amin?
Si kweli kwamba Amin alimuua mtoto wake,Jaffery Amin mtoto mwingine wa Amin anasema moses yupo na ana maisha yake huko France.

Na kwny hio interview ameeleza namna baba yao(Iddi Amin) alivyofanya mpango wa kuwaokoa watoto wake 10 akiwemo huyo Moses kutoka katika boarding school waliyokua wanasoma baada ya TPDF kuingia huko Uganda.

'While the world was convinced that Amin had a taste for human flesh, it wasn’t so, says Jaffar. What of Jaffar’s brother, Moses, who was allegedly killed and eaten by his father in 1974? He’s actually“alive and well in France,” according to Jaffar.'
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
4,785
2,000
Mi naskia jamaa alimtafuna mtoto wake.
Alimla mchemsho then kichwa akaweka kwenye freezer kwa matumizi ya baadae
 
Forum statistics

Threads
1,424,698

Messages
35,070,273

Members
538,067
Top Bottom