Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari.. naombeni msaada jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel mfano kuna chanel inaitwa Mbc 2 hawa wanaweka muvie nzuri ila tatizo subtitle zao zipo kwa rugha ya kiarabuย…
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers. Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior...
9 Reactions
147 Replies
5K Views
Habarini wakuu. Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk. Akili yangu inaniambia hii ni...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
๐Ÿ’ฅOFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA๐Ÿ’ฅ ๐Ÿ’ฅ Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! ๐Ÿ’ฅ 1๏ธโƒฃ 25 NVMe SSD Storage 2๏ธโƒฃ Free Website Migration/Transfer 3๏ธโƒฃ Maximum Speed (Up to 3x) 4๏ธโƒฃ Kama Unaitaji...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
MwanaKidigitali....hivi unajua Game ya biashara ya Laptop ipo tofauti sana kwa Ground tofauti na wengi wanavyo fikiria. Unaweza kujiuliza kivipi ....? Swali Zuri ...! Nakutana na watu wengi sana...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC. Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mambo ya HP. Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa. Je! Haitiniletea shida? Kuhusu...
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Yaliyomo Yaliyomo 1 Week 1 4 Introduction to Android development 4 Overview of the Android platform 7 Setting up the development environment 11 (Android Studio) 11 Understanding the project...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane...
5 Reactions
17 Replies
888 Views
Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
1 Reactions
6 Replies
734 Views
Habari waungwana, Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa Sasa lengo...
3 Reactions
4 Replies
580 Views
Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Mwenye kuelewa kuhusu internet anisaidie nataka kununua airtel router sasa bando la chini ni 70000 ambayo ni mbs 10 sasa nataka niwekanofficine kwa ajili ya kudownload movies je itanifaa au...
2 Reactions
6 Replies
470 Views
Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi. Live demo Puter unaweza kutumika kama: A privacy-first...
2 Reactions
3 Replies
500 Views
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
1 Reactions
2 Replies
361 Views
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
0 Reactions
5 Replies
461 Views
Wanajamii naombeni msaada decorder yangu ya azam haipokei signal ya remote je inatengenezeka kwani remote ni nzima nimetest kwenye decorder nyingine
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba mnisiadie hii font ni ipi kwenye Microsoft Word? Nahitaji jina la font kwa wenye experience. Shukrani
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ