Msaada wa kuhusu hii keyboard ya computer yangu

Mwamba1961

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
624
408
Habari wana JR...

Leo nimewasha laptop yangu ila baadhi ya vitufe(keys) vimegoma kutoa majibu kwenye screen..

Naombeni msaada ili niweze kurekebisha
 
havibonyezeki(vigumu) au vinabonyezeka lakini ukivibonyeza pc haitambui kama imebonyezwa?
 
Kama umebonyeza baadhi ya key (button) kwenye keyboard na ukaona hazitoi response yeyote...basi hakuna kingine zaidi ya kubadilisha keyboard nzima. Kwamaana hakuna marekebisho ya key moja katika keyboard kwasababu button zooote zimekuwa connected kwenye motherboard ya computer kwa mkanda mmoja tuu...
Kama upo Dar na utahitaji kubadilisha hiyo keyboard nichek 0658 020362
 
bei gan kubadil keyboard
 
Taja Model kamili ya Computer yako.
Unazo keyboard.
nahitaji keyboard ya HP 15 DA0019. Shingapi?
1632487150284.png
 
Back
Top Bottom