ni app gani free ya kuedit picha ya ios ambayo naweza kubadilisha rangi za nguo mfano nyekundu kua blue na vilevile background ya picha mfano background yenye majani ya kijani yawe yanjano?
poleni na majukumu ya kuijenga Tanzania mpya,
ndugu zanguni hali ya mambo duniani inaenda kasi sana kiasi usipotumia mianya hupati upenyo....
sasa, kuna hii kitu inaitwa wifi..ni nini? na mara...
Je wadau kuna code yoyote ya kuingiza ktk ving'amuz vya star times kupata channel bure?
Au ndo tuende kwenye radio tu usawa huu noma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nahitaji hiyo betri tajwa hapo juu iwe Original kwa bei ya Tsh.15,000. Pale Kariakoo Mtaa wa Aggrey a.k.a Mtaa wa masimu nimekosa! Kwa mwenye nayo Tuwasiliane kwa namba hii 0717577755 or...
Wakuu nisaidieni wajuzi wa electric equipment kipi bora kwa kutaype kati ya pc au tablet kazi kama barua assignment nk na kama pc ni aina gani? Deli au hp ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka namna ya ku fungua pass code ya screen ya iPhone.
Nataka nifanye hivyo bila kupoteza data. Zamani ilikuwa rahisi kufungua kwani aliweka date of birth naona imebadilishwa sasa screen lock...
Facebook wataanza kuonyesha videos za show mbalimbali za watumiaji wake kama Youtube na vituo vya runinga. Wataweka tab maalum kwa ajili ya videos. Watumiaji wataweza kutoa maoni chini ya video na...
Kampuni ya Vifaa vya Umeme ya Toshiba imetangaza kupata hasara ya Dola Bilioni 8.8 katika kipindi kilichoishia mwezi Machi mwaka huu.
- Yatakiwa kuuza kifaa chake cha kutunzia kumbukumbu cha...
Kuna jia mbali mbalibsana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.
Kufuta akaunti yako ya facebook kunaweza chukua siku 90...
Poleni na kazi wadau,simu yangu haitowi mlio wakati nikipigiwa,hata video zote pamoja na miziki pia hazitowi sauti.Hii ilitokea majuzi asubuhi nasikiliza kipindi cha BBC,ndo sauti ikakata...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nina simu Tecno C9 lakini hivi karibuni imekuwa ikinisumbua hasa kwenye mfumo wa Bluetooth na hotspot nikiwasha baada ya sekunde kadhaa inazima hivyo hivyo na...
Naombeni msaada wakuu jinsi gani nitaspeed up ota upgrade, Najaribu kufanya system update tokea Jana lakini bado nimekwama kwenye 28 percent
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya sikukuu ya nane nane wakuu. Naomba leo tuzungumzie juu ya changamoto ya upatikanaji wa taarifa kwa watu wanaotaka kupata nyumba. Kupitia mijadala yetu tunaweza kupendekeza na njia...