Transparen Member Joined Aug 23, 2017 Posts 80 Reaction score 106 Sep 7, 2017 #1 Wakuu nina mini laptop ina port mbili na zote zinachagua flash disk yani unakuta hii inasoma hii haisomi nini shida apo wakati ni mpya ilikuwa poa.
Wakuu nina mini laptop ina port mbili na zote zinachagua flash disk yani unakuta hii inasoma hii haisomi nini shida apo wakati ni mpya ilikuwa poa.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,330 Reaction score 72,613 Sep 10, 2017 #2 Kajaribu ku update Drivers za pc yako