msaada kwenye tecno c9

msaada kwenye tecno c9

Senator_4994

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
234
Reaction score
402
Habarini wakuu.....
naomba kwa yyte anaeweza kunielekeza namna ya kuchange LOCK SCREEN WALLPAPER kwenye c9 ili niweke picha nnayoitaka mimi co zile hios wallpaper
c3fc1c03701b68ac771d2dc68919223f.jpg
msaada tafadhali....
but cm haijawa rooted nmejaribu njia tofaut za kuroot imegoma msaada wenu
 
Mkuu si unaselect picha husika halafu una set as a home screen au lock screen wallpaper? hujaona option hiyo




Kichwa Kichafu nakuona
ingekuwa ivo mbona nicngeuliza hapa an haileti option ya gallery kwenye lockscreen inaonesha hios wallpaper tu but kweny wallpaper ya screen inakubali ila mimi ataka change hyo ya lockscreen
 
ingekuwa ivo mbona nicngeuliza hapa an haileti option ya gallery kwenye lockscreen inaonesha hios wallpaper tu but kweny wallpaper ya screen inakubali ila mimi ataka change hyo ya lockscreen
anhaa sawa mkuu

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Hamna hunter imenibidi hata niweke hii kwa kuwa bado tupo kwenye kipindi kigumu ila itarudi tu maana ndio inanitambulisha ile.
Kweli kabisa mkuu..pamoja

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Daah asante wameiba tena na hii Dada kuna mtu anaitwa Mgegedaji kajiunga jana ananifanyia sifa

Sent from my iDevice using Tapatalk
mkuu si mchezo
yule jamaa inaelkea ameshindikana


namuona kwenye thread mbali mbali anakula good time [emoji1] [emoji1]

!Yves V!
 
Back
Top Bottom