AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
SHOɹ┴ƆC∩┴ ⅄Y∀ ʞ∩ W∀ʞEƎ ℲFOlpeɹ
Wengi Katika Watu Tunajua Ku Make Folder Kwa Ku
-Right Click Kwenye Desktop
-Kisha Ku bofya NEW
-Kisha Kubofya...
Wadau Naomba kupata elimu kuhusu 32bitz na 64bitz .Mara nyingi nimekuwa nikiona Baadhi ya Windows na program mbali mbali kufanya kazi na 32/64bitz ama 32 na 64bitz kwa pamoja.
Ninatatizo la kutuma picha kwenye whatsapp nimejaribu kutuma picha kutumia whatsapp picha haziendi na mwishoni napata ujumbe unaosomeka hivi :Certificate Exception,certificate was issued by an...
Chini ya mwezi mmoja baada ya Apple kutangaza sim zake mpya za Iphone 8, 8+ na Iphone x, kampuni hiyo imepunguza uzalishaji wa Iphone 8 na Iphone 8+ baada ya kukosa mahitaji makubwa kama ilivyokua...
Habari zenu wakuu,
Kwa wale watumaji wa mtandao wa Telegram mnafahamu kwamba ndani ya telegram kuna 'bots' ambazo zinaweza kufanya kazi mbalimbali kama; kukutumia habari mbalimbali, kuconvert...
Wakuu habari! Nahitaji kuwa professional photographer, je ni wapi naweza kupata wataalam ninapoweza kujifunza kwa hapa dar es salaam na gharama za kufundishwa zikoje.Natanguliza shukrani kwa...
Takribani miezi 3 nimenunua laini ya simu kutoka kampuni ya simu ya umma yaani TTCL, baada ya kuja na kufanya promotion ya huduma zao pamoja na vifurushi mbalimbali ambavyo mteja atafaidi baada ya...
Kampuni mamá ya Tigo na Zantel (Millicom ) inasemekana wanafanya mazungumzo ya Siri ma kampuni ya Zimbabwe (Econet wireless), ili Econet wazinunue hizo kampuni mbili za Tanzania.
Wanakimbia nini...
Nimeamini cha kwanza kuogopa ni Mungu cha pili ni Teknolojia, Hii video inaonyesha vifaa vya kiintelijensia ambavyo wapelelezi wengi huvitumia kukusanya taarifa
Nahisi hata akina Lema na nassari...
mnatumia printer zipi kuprint mabango makubwa kama ya barabarani na ni shingapi printer hizo je naweza pata hapa Tanzania na pia mnatengeneza na kuprint kwa tshs ngapi? na paper hizo zinaitwaje...
Nahitaji msaada jaman,Nina flash yangu ni 64 GB Ila nikiiwekea vitu either programs/vingine muhimu havfunction ko naomba msaada wenu namna ya kufanya ili vifunction
Ahsante
Mimi huwa napenda kutumia programu nyingi nyingi katika utendaji wangu wa kazi wa kila siku , nimeonelea niandika kidogo kuhusu programu hizo ambazo huwa nazitumia katika shuguli hizo ingawa...
Wakuu naombeni msaada,kila nikitaka ku copy document yoyote kwenye Pc yangu naambiwa you need administrator permission to copy this file,tatizo ni nini?
natanguliza shukrani!