Msaada wa jinsi ya kujua simu feki na original kwa maelekezo ya TCRA

Tuma imei no za simu yako kwenda 15090 utapewa jibu hakikisha jibu linafanana na model ya simu yako
 
1. Piga *#06#
2. Hiyo IMEI namba itume kama meseji kwenda 15090
3. Unatakiwa upate meseji itayokwambia jina halisi la. Simu yako na model yake.
 
1. Piga *#06#
2. Hiyo IME namba kwenda 15090
3. Unatakiwa upate meseji itayokwambia jina halisi la. Simu yako na model yake.
Naam. Maelezo utakayotumiwa kutoka TCRA lazma yafanane na simu uliyotuma IMEI zake.

Mfano Kama ulituma IMEI za TECNO C8 basi maelezo yatakuambia kwamba ni TECNO C8. Kama itakuja vinginevgo ujue umeliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom