Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka...
1 Reactions
1 Replies
405 Views
NINI MAANA YA KOMPYUTA Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Nimekuja na Hoja hii nahitaji msaada kwenye comment hapo, mimi nimeishia hapo, kama kuna mtu anaweza kuweka vizuri kwa ajili ya mtu ambaye ni mgeni kabisa kuelewa ni nini hasa namaanisha anisadie...
2 Reactions
4 Replies
468 Views
Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi...
2 Reactions
3 Replies
400 Views
Habari za wakati huu wana jukwaa la teknolojia, Natumaini wote ni wazima. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo la u-z-i. Hivi kuna uwezekano wa kubadili logo za simu pale ikiwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar Za midaa Hii wana jamvii??? Huu ni uzi maalum kwa ajili ya tecno kama heading inavojieleza. Wengi wetu humu tunatumia tecno wereva. Basi tushirikishane kwenye uzuri, ubovu na matatizo ya...
6 Reactions
239 Replies
51K Views
Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription. Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes...
15 Reactions
24 Replies
1K Views
Tiktok inatuwezesha tufahamiane. Inafununua uwezo wa binadamu bila mipaka, anadhihirisha na kubainisha uwezo halisi na kuchuja propaganda. Injinia huyu ni kielelezo cha uwezo wa vijana wa...
1 Reactions
1 Replies
305 Views
Wataalam wadau wa jukwaa hili. Sina mengi ya kueleza, ila kama kuna mdau anajua duka ninaloweza kupata Floppy disk drive naomba anielekeze, nipo DSM. Asante sana kwa ushirikiano.
0 Reactions
2 Replies
299 Views
Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na...
16 Reactions
100 Replies
8K Views
Software development ni jumla ya Juzi nyingi sana ukiachana na zile ndani ya Programming knowledge, Mtu anahitaji pia Tehama kiujumla na Mambo yake mengi na hata uwezo wa kusikiliza tatizo na...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
SSD vs HDD: Tofauti Ambayo Watu 75% Hawaielewi – Na Inawagharimu Sana Katika dunia ya leo ya kidijitali, tunatumia laptop na kompyuta karibu kila siku. Lakini bado, asilimia kubwa ya watumiaji –...
1 Reactions
0 Replies
426 Views
Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha...
4 Reactions
20 Replies
904 Views
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya...
45 Reactions
65 Replies
15K Views
wajuzi tv aina ya zune ni bora nimeiona littlemore nikaipenda
0 Reactions
6 Replies
580 Views
Meta's Llama 4: Benchmark Controversies and Performance Challenges Audio: Meta's Llama 4_ Performance and Controversy Meta's Llama 4 series of large language models has generated significant...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakubwa! Naitaji kujua hii biashara ya playstation digital games installation ni inafanyikaje?
1 Reactions
6 Replies
747 Views
Ni game iliyojizolea umaarufu hapa nchini, ningependa kuwajua mafundi wake watukutu
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Habari zenu wadau. Nahitaji ram ddr2, 4GB kwa ajili ya laptop, HP 6930p. Kama upo mwanza ni vema zaidi, Ila hata maeneo mengine. Au kama unaweza kushauri karibu
0 Reactions
3 Replies
408 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…