Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuelewa na Kujilinda Dhidi ya Mashambulizi ya Man-in-the-Middle (MITM) ➤Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, usalama wa mawasiliano mtandaoni ni muhimu sana. Hata hivyo, kuna vitisho vingi...
2 Reactions
3 Replies
307 Views
Habari ya uzima wakuu, Naomba mnishauri wapi nitapata gpu nzuri na ikiwezekana mniambie ninunue toleo gani bajeti yangu 400k asante CHIEF MKWAWA
1 Reactions
85 Replies
6K Views
Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye...
3 Reactions
17 Replies
855 Views
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Walijaribu njia ya cmos battery imeshindikana, njia ya kushot ile eeprom nayo imeshindikana sasa kama kuna mtaalam mungine anisaidie
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha, Budget yangu ni laki 250000 - 300000. So wanajukwa naomba kueleweshwa...
2 Reactions
58 Replies
18K Views
Wakuu,,, Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai. Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni...
2 Reactions
11 Replies
725 Views
Inauzwa Dell inspiron. Good condition. Processor corei3 6th generation Hdd 500gb Ram 8gb Bettery 3hrs, Screen 15,6 size. Matumizi code, graphic design Ofisini, kwa mwanafunzi Bei 350000...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
MALENGO YA AU MAFANIKIO YA UJUZI WA PROGRAMMING Miongoni mwa malengo au mafanikio anayotarajia mtu anayejihusisha na programming ni kutengeneza programu za kompyuta kwa matakwa yake mbalimbali. Na...
1 Reactions
3 Replies
828 Views
UTANGULIZI JIKU TECH TIPS ni Software Developer na mkufunzi wa hatua za awali na kati za kujifunza , kufanya na kuishi Tehama ya awali, kati na juu. TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari...
3 Reactions
2 Replies
623 Views
COMPILER NI NINI ?? Kwa lugha rahisi , compiler ni kama mtafsiri ambaye hubadilisha maelezo yaliyoandikwa katika lugha za programu ambazo sisi binadamu tunaelewa kam vile python, java, C++ na...
2 Reactions
3 Replies
474 Views
LUGHA ZA PROGRAMU Programu hizi zimeandikwa kwa kutumia lugha za programu. Hapa kuna baadhi ya lugha za programu. Python Java C++ JavaScript Ruby C# n.k Kwa kutumia lugha hizi programmer...
1 Reactions
1 Replies
466 Views
PROGRAMMING NI NINI? Programming ni mchakato wa kuunda program za kompyuta kwa kutumia lugha za kompyuta. Programu hizo ni maagizo ambayo kompyuta inafuata ili kutekeleza kazi flani. Mfano...
1 Reactions
1 Replies
391 Views
PROGRAMMING Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips. Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka...
1 Reactions
1 Replies
398 Views
NINI MAANA YA KOMPYUTA Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Nimekuja na Hoja hii nahitaji msaada kwenye comment hapo, mimi nimeishia hapo, kama kuna mtu anaweza kuweka vizuri kwa ajili ya mtu ambaye ni mgeni kabisa kuelewa ni nini hasa namaanisha anisadie...
2 Reactions
4 Replies
465 Views
Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi...
2 Reactions
3 Replies
398 Views
Habari za wakati huu wana jukwaa la teknolojia, Natumaini wote ni wazima. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo la u-z-i. Hivi kuna uwezekano wa kubadili logo za simu pale ikiwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom