Naona wanataka kuachana nayo na hii huduma kwasababu inaaccount nyingi sana (ukiwa na gmail automatically utakuwa na google+ account, youtube nk) lakini matumizi ni madogo sannnaaa. Hivyo basi maintenance inakuwa ni kubwa ila faida chache au hamna kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.