Jinsi ya kuona namba za simu za marafiki zako wote wa facebook

Ukiclick link hii utaona namba za simu za marafiki zako wote waliopo facebook.

Tena na siku hizi facebook inamkumbusha kila mtu aingize namba yake.

Login | Facebook

Mkuu, siyo kila mtu aliyeweka namba yake kwa FB unaweza kuziona.... Mfano ukifungua profile ya rafiki yako aliyeweka namba zake zionekane kwa friends wake utaiona namba yake pale utakapo tembelea Profile yake,au kwa kutumia njia hiyo hapo juu....,

Pia unaweza kuweka namba zako na ukazificha kwa na kuweka sett "Only Me"namba yako isionekane kwa mtu yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kuiona...... Hizo namba mnazo ziona ni kwamba wenye profile usika wameziachia kwa kujua au kutokujua...

Ni sawa na unapo tembelea profile ya mtu na kuona e-mail yake aliyojiandikishia nayo FB, na wengine uwezi kuziona mail address zao, ni kwamba wanakuwa wamezificha zisionekane public ili kuepuka usumbufu usiyo walazima.

Mfano mimi nimeficha E-mail address zangu zote zisiweze kuonekana na marafiki zangu (angalia setting kwenye picha chini)Kiasi kwamba hakuna mtu ambaye anaweza kuona namba zangu za simu au e-mail zangu kwa njia yoyote ile...
attachment.php
 
Attachments

  • FB.JPG
    FB.JPG
    23.9 KB · Views: 32,744
teh teh teh! ndio zote zina matumizi yake tofauti tofauti....Ila mwisho wasiku nimeziunganisha kwa FB ili kupata wale watu muhimu niliokuwa nawasiliana nao kwa njia ya hizo e-mail
du wewe ni kati ya watu ninaowavulia kofia hapa JF kichwa chako kimesheheni mambo lukuki kaka ,hakika una kipaji kikubwa sema basi nitoe rushwa ili nikinunue bana teh teh
 
Hapana mkuu, hamna sababu ya kunipa rushwa, tutagawana maarifa machache tuliyo nayo kwa njia hii hii, ambayo inatunufaisha wote hapa JF. Mimi siyo mjuzi wa mambo mengi ila najufunza kutoka kwa wengine kupitia sehemu mbali mbali....Nadhani na wewe unayojifunza hapa utashare na wengine kwingineko!
 
Mkuu, siyo kila mtu aliyeweka namba yake kwa FB unaweza kuziona.... Mfano ukifungua profile ya rafiki yako aliyeweka namba zake zionekane kwa friends wake utaiona namba yake pale utakapo tembelea Profile yake,au kwa kutumia njia hiyo hapo juu....,

Pia unaweza kuweka namba zako na ukazificha kwa na kuweka sett "Only Me"namba yako isionekane kwa mtu yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kuiona...... Hizo namba mnazo ziona ni kwamba wenye profile usika wameziachia kwa kujua au kutokujua...

Ni sawa na unapo tembelea profile ya mtu na kuona e-mail yake aliyojiandikishia nayo FB, na wengine uwezi kuziona mail address zao, ni kwamba wanakuwa wamezificha zisionekane public ili kuepuka usumbufu usiyo walazima.

Mfano mimi nimeficha E-mail address zangu zote zisiweze kuonekana na marafiki zangu (angalia setting kwenye picha chini)Kiasi kwamba hakuna mtu ambaye anaweza kuona namba zangu za simu au e-mail zangu kwa njia yoyote ile...
attachment.php

Rukus, naona kwenye picha una email ya Faceboo, nikitaka na mimi niwe nayo nafanya je?
 
Pia kuna baadhi ya devices mf. Huwaei Ideos, hizi zinakupa uwezo wa ku-sync friends list ya FB kwenye phonebook (contacts), so kama friends wameweka namba za simu, email unazipata.
 
Back
Top Bottom