Aboder tv vs Star X tv ushauri ninunue ipi

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Mliowahi kutumia hizi flst tv, kati ya aboder na star x, ipi ni nzuri zaidi

==========
 
hivi brand kubwa hamzijui au mnajifanya hamnazo? baada ya mwezi utasikia '“”msaada tv yangu imejizima ghafla”!
baba pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.
 
Hapana mbuzi hali urefu Wa kamba yake,mbuzi anakula kwa huruma ya mchungaji wake....Chukua star X mkuu ipo njema
 
baba pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.
Ila mbona bei za star x na za brand kubwa hazijapishana sana.?
Mi namshauri achukue star x.ndo habari ya mjini.
Mambo yamebadilika.
 
baba pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.
Ungesema unashngapi ili wakushauri tv nzuri ya kununua kutokana na pesa ulonayo
 
Nunua Star X mkuu.
Nina uzoefu nazo wa muda mrefu. Na pia mimi ni muuzaji wa TV kwa bei poa kabisa. Nicheki kwa namba hii 0717016789

Kama upo dar tunakuletea bure mpaka ulipo , tunakufungia then unalipa

Karibu sana
 
Star x bei gani mkuu unauza hapo
 
Tupo Dar es salaam Posta na branch ingine Kariakoo. Pia tunaweza mtuma mtu akakuletea kama upo Dar then ukampa hiyo hela
Hiyo bei 390 ndio imesimama au inapungua, alafu swala la flat kupiga mstari katikati na kuleta mawimbi baada ya mda lipo vipi kwa tv hizi za star x?
 
Hii ishu hutokea sana kwa samsung na huwa inasababishwa na handling ya tv yenyewe. Nakushauri utakaponunia flat yako hakikisha unaifunga ukutani. Hapo inakuwa salama zaidi. Pia star x na TCL zina vioo vigumu sana
 
Hiyo 390 inapungua auu?
 
Hao wote ni wamoja maana hata bodi zao za ndani zinafanana yaani...user interface ya aborder ni ile ile ya kwenye star x, kwa kifupi TV almost zote za kichina user interface yake ni moja...
 
Hata mimi nahisi hivyo
 
Back
Top Bottom