mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Naomba kujulishwa au msaada wa anayeweza kunitengenezea App yangu!! Gharama?? Na vitu vingine
DM ndio nini?Njoo DM
Nashukuru!pitia hapo>> Create Android apps without coding using Andromo App Maker for Android
Au hapa>>> Wanaotaka kutengeneza Apps
au pitia hapa>>> Jinsi ya Kutengeneza App za Android Bila Kuwa na Ujuzi Maalum" Jinsi ya Kutengeneza App za Android
Kama unataka professional zaidi tafuta wataalamu wa programing pia ingekuwa rahisi ungesema ni app gani unataka kutengeneza
MKUU HABARI ZA KUPAMBANA, NIMEKUTANA NA HII REQUEST YAKO JE ULIFANIKIWA??nataka app ambayo itabeba information muhimu ya organization yetu pia inayoruhusu watu kujisajili na kuweza kulipa Ada za uanachama!