Mawasiliano ya vyombo vya masafa marefu yakoje?

Mawasiliano ya vyombo vya masafa marefu yakoje?

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
2,734
Reaction score
1,781
Wadau,
Habari za humu ndani?
Ni maranyingine tena nimeona vyema nipate uzoefu wenu, ili nipunguze ujinga.


Huwa najiuliza swali hili ila sijawahi kupata majibu;
Hivi, Meli inayosafiri masafa marefu, kama kutoka afrika kwenda ulaya, huwa ina mawasiliano ya kule itokako na iendako?
Na kwa kuwa e mail hutumia net, simu hutumia net, wanatumia mawasiliano ya aina gani?
Naomba wajuvi wa mambo mnisaidie juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyosoma darasan meli na ndege utumia satellite kataka mawasiliano yake hiyo satellite uwasiliana na radar ambayo inakuwa kwenye iyo meli .nimeeleza juu ila nikipata mda nitafunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa Very small aperture terminal (VSAT) Hutumia due dishes kuwasiliana na Satellite, Iko ivi Mawasiliano yapo ktk mfumo wa Satellite, Minara au Cables zinazopita chini ya bahari, Satellite hu act kama back up incase Cables au Minara ime feli au kama Eneo ni remote sana ambapo haliwezi pata acces ya minara au Cables, Sattelite zipo nje ya dunia wastani wa 36000Km above the earth surface zipo kwenye orbit fulani inaitwa Geostationary orbit hapo zipo sat kibao zote purposely ni facilitate communication, Meli zote zina Ma dish juu na yamekuwa positioned kuzipata hizo sattelite, Sio ivo tu hata ww ukienda sehemu hakuna connection ya network yoyote unaweza ku opt internet satellite japo ni Ghari sana
 
Asante, ila ndo kusema humo hata simu zinaweza kutumika? Make nimewahi kusikia kwamba kuna sim card maalum inayofanya mawasiliano pasipo na net

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Radio frequency zenye long wavelength, wave zinaweza kuwa emitted by satellite
 
Back
Top Bottom