Nahitaj kubadili fonts ziwe kama za Samsung lakn nashindwa kwny setting hakuna Ila kuna namna ya kufanya kuzipata je, nafanyeje?? Msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kuandika kitabu kwa habari ya Technolojia (sijaamua bado kama itakuwa ni Software Engineering, Networks au Databases) ila kuna maeneo nataka kusikia maoni yenu,
Lugha ya kutumia ili...
Habari wana bodi,
Nadhani mtakubaliana nami kuwa university ofa ni suluhisho na ni mbadala wa kubana matumizi katika mitandao ya simu.
Leo katika kuangalia menu nimekuta ofa moja tu ambayo nayo...
Kwa anayejua app ya Android inayoweza kuextract audio kutoka kwenye file lenye extension .pvr anisaidie.
Nimezunguka play store Kila niliyoinstall imegoma.
Usiku mwema
Sent using Jamii Forums...
Wadau wa Android, nataka app yetu iwe na uwezo wa kupokea SMS (One Time Password) inayotumwa kutoka kwenye server-side kuja kwenye android mobile app.
Nimejaribu kufuata na ku-implement kama...
Ili kuzuia nywila zako zisidukuliwe kupitia social engineering, brute force au njia ya dictionary attack, na kuhifadhi akaunti zako za mtandaoni salama, unapaswa kuzingatia yafuatayo:
1...
Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
Naomba kuelezwa tofauti kati ya hizo gari mbili yani tiida na raum unafuu wake na gharama zake
1.engine zake zinavyokula mafuta
2.ubora wake
3.mazingira yapi zina faa.
4.muonekanoo
N.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.