Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,624
Nataka kuandika kitabu kwa habari ya Technolojia (sijaamua bado kama itakuwa ni Software Engineering, Networks au Databases) ila kuna maeneo nataka kusikia maoni yenu,
Mnisaidie maoni yenu wadau!
- Lugha ya kutumia ili kiwanufaishe Watanzania ni ipi? Kiswahili? Kiingerza au mchanganyiko?
- Wachapaji wanaweza kubali kweli kwa hapa kwetu kwa kuwa ni jambo geni kwao (AFAIK)?
- Watanzania kweli watanunua au ndio ile ananunua mmoja wengine wanapiga copy?
Mnisaidie maoni yenu wadau!