TOFAUTI:TIIDA RAUM AUTECTH VS RAUM NEW MODEL

sido9797

Senior Member
Aug 15, 2018
161
225
Naomba kuelezwa tofauti kati ya hizo gari mbili yani tiida na raum unafuu wake na gharama zake
1.engine zake zinavyokula mafuta
2.ubora wake
3.mazingira yapi zina faa.
4.muonekanoo
N.k utakayopenda kunambia sababu kubwa ninataka kununua ofcoz nimegoogle lakini sijaridhika.
Nawasilisha hojaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom