Metal Detector | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Metal Detector

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Masiko W. M., Jul 29, 2012.

 1. M

  Masiko W. M. Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana Jf naomba msaada wa kunifahamisha ni metal detector gani iliyo nzuri kwa gold prospecting/hunting? ambayo inaweza kupambanua aina ya madini yaliyoko ardhini na umbali yaliyoko.
   
 2. M

  Mtafiti Madini Senior Member

  #2
  Oct 22, 2013
  Joined: Oct 12, 2013
  Messages: 103
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mkuu inategemea tu kwamba wewe unataka za aina gani.Mimi ninazo za aina mbali mbali.Kama vipi tuwasiliane.
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Oct 22, 2013
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Metal detector kazi yake ni kudetect chuma na madini yote yenye asili ya vyuma kama vile dhahabu hivyo metal detector haina uwezo wa kudetect madini ya aina nyingine. Metal dectectors zipo zenye uwezo tofauti kulingana namatumizi ya husika ya mtu. Pengine wewe ungeeleza hiyo metal detector unataka kuitumia kwa matumizi gani ili nijue namna ya kukusaidia.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2013
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama wanatumia metal detectors, inabidi ufanye drilling kuchukua samples za ardhi kisha kuangalia kama kuna madini unayotafuta, hii ni knowledge ya Discovery channel lakini so ongeza na zako.
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145


  kama unataka kufungua mgodi yeah itabidi geologists wacheck eneo pia samples zichukuliwe ili uweze kupata maximum yield. Ila kwa mtu tu individual its okay and mkuu gold ni metal so it can be detected. Kwa mtoa mada, i used to watch alot of discovery and here's what i can remember about this thing, kwanza modern detectors zinauwezo wa kugundua gold size ya punje ya mchanga hadi inchi 1 kwenda chini na gold saiz ya kichwa cha kiberiti about 3-4 inches hivi pia nakumbuka kwenye kuchagua detectors unatakiwa kujua yenye coil kubwa(pana) itagundua gold kwenye wigo mkubwa ila gold ndogo haitakua na uwezo wa kuziona na huku yenye coil ndogo itagundua hadi vile vigold vidogo ila sababu coil ni ndogo inakua haina wigo mkubwa. So unatakiwa uchague una sacrifice nini hapo. Also zile detector za taa sio acceptable maana haziwezi tofautisha na vyuma vingine kama Iron, steel etc. Walikua wanaita hii kitu Nugget hunting
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  XRF Analyser. I-google uone.
   
 7. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #7
  Oct 22, 2013
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Nijibu hili suali la muhimu sana , unataka ya kwenda deep kiasi gani.? Hapo ndo nitajua nikusaidieje.
   
 8. M

  Mtafiti Madini Senior Member

  #8
  Oct 28, 2013
  Joined: Oct 12, 2013
  Messages: 103
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu upo sahihi sana.
   
Loading...