Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, kuwa na tovuti au blog si anasa tena — ni hitaji. Na unapofikiria kuanzisha tovuti, jina moja linalojitokeza mara kwa mara ni WordPress. Lakini WordPress ni...
1 Reactions
1 Replies
330 Views
Guys nisaidieni kujua maana ya teknolojia
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Wadau ..kwema bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
0 Reactions
5 Replies
369 Views
PART 2 EP01 Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge. Wasalaam Wanandugu: Tumekutana Tena Katika Darasa Letu Huru La Laptop Repair, Na Part 2 Hii Tutakuwa...
23 Reactions
74 Replies
14K Views
Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
3 Reactions
24 Replies
896 Views
Wakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Dunia imebadilika. Teknolojia haiko tena kwa matajiri au mataifa makubwa tu—imeingia mitaani, vijijini, hata mifukoni mwetu kupitia simu za mkononi. Na katika mabadiliko haya, vijana wa Afrika...
2 Reactions
0 Replies
315 Views
Tangu kasi ya 4G ianzishwe, hakuna brand hata moja ya kiafrika iliyotoa simu ya 4G yenye betri kuanzia 5000mAh, kwa mara ya kwanza, Itel Mobile imeweka historia hiyo kwa kutangaza simu ya 4G yenye...
3 Reactions
75 Replies
23K Views
Al ipo kwa kasii sana Windsurf, cursor, trae etc zipo nyingi ipi umewahii kutumia unaweza kutoa suggestions kwa wale ambao wapo kwenye game ya software development itasawasidiaa.
2 Reactions
8 Replies
548 Views
Hello, Guys najua wafanya biashara wengi sana hawana website na wanafikiri kuwa kwao kuwa na website yake (Online Store) kama haina umuhimu au kuona kuwa kumiliki website mpk uwe na biashara...
1 Reactions
2 Replies
486 Views
Wapenzi na wadau wa Samsung. Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra. Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni. Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60"...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Ya DSTV mafundi wanadai kwa sababu ilitumia kitambo ndio maana ilipoteza software, inaandika booting waiting for some times. kila mara booting, naomba ushauri nirudishe au kama inatibika...
1 Reactions
14 Replies
658 Views
SpaceX mara ya kwanza walikuwa na madhumuni ya vyombo vyao vitakuwa vikifanya safari ya kwenda sayari ya marsi. Ila kwa pesa walizoweka na mikopo jamaa kaona kwanza huduma za kutumia vyombo vyake...
2 Reactions
4 Replies
383 Views
Habari zenu wadau. Nilikua nauliza wadau Je ukiwa Hapa Tanzania inawezekana kufany manununuzi ya games mbalimbali ktk ps store.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini. Naomba Msaada Nilingia Akaunti ya Instagram nambiwa hivi.
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…