Kwanza kabisa.
1. Fungua account yako hiyo ya psn halafu country weka South Africa maana Tanzania haimo. Weka street address na zip yoyote ya south.
2. Activate card yako ya benki either visa au mastercard kwa manunuzi online. Wasiliana na bank yako unayotumia either crdb,nbc,equity nk
3. Add debit card details kwenye wallet ya psn ila hutaweza kununua credits zao kupitia hiyo card uliyoweka sababu ni ya Tz na account ni ya SA.
4 Hawa jamaa una uwezo wa kununua vocha au psn carda ambapo utakua na option ya kureedem au kujaza hizo vocha.
5. Kuna sites nyingi wanauza hizo vocha ila legitimate ni hii cardscore.com ambapo utachagua psn card na nchi uliyopp ambayo ni south Africa utachagua kiasi cha Rand unayotaka ambazo utatumiwa picha ya vocha iliyokwanguliwa na utajaza kwenye account yako seed ya add fund.
Usisite kuuliza swali baada ya kufata instruction nilizokupa
Wasalaam