Kwanini simu za Samsung zinavunjika vioo kirahisi sana?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,716
45,115
Samsung ana simu nzuri sana ila zinaongoza kwa kuvunjika vioo, shida ni nini ukilinganisha na simu nyingine kama tecno, huawei?

Je zipi ni hatua za kuchukua kuhakikisha kioo kinakuwa salama hata ikitokea imedondoka kwa bahati mbaya?

Karibuni kwa mjadala...

Tafuta screen protector ya rockView attachment 734442
Lakini pia kama ni mpenzi wa kuweka case tafuta hii case ya rorck ni nzuri sana kwenye protection ya screen.
View attachment 734443View attachment 734444View attachment 734445View attachment 734446
 
Bei ya protector haifiki hata asilimia 1 ya gharama ya simu. Tafuta hio na uweke siku ya kwanza tu ununuapo simu mpya.

Samsung phones ni kioo ndio mnauziwa mamilioni ila vingine ni mbwembwe tu sasa unataka waweke kigumu ili kisivunjike ukae na simu miaka 10 wakati kila baada ya miezi sita wanatoa toleo jipya mkuu? Nunua ingine tu, hapo kioo ukitafuta utaambiwa laki 6 kama simu ni latest s9!
 
kwahiyo kumbe uchawi ni protector tu?
 
Watu inaonesha mmeanza kutumia Samsung hivi karibuni sana wakati wa kizazi cha S.
Sisi tumeanza kutumia Samsung wakati wa kizazi cha A tukaja nazo wakati wa kizazi cha J na sasa cha ....

Samsung ni simu bora sana kati ya makampuni bora ya simu. Kuvunjika kwa look hata cha Hammer kinavunjika kutegemea imeangukaje. By the way Samsung ni simu bora sana kuanzia uwezo wa network, morphology, hardware, software, na battery zake.
Nilihamia Samsung nikitokea Nokia,. Tecno ndo kampuni inayoproduce simu mbaya na mbovu nadhani kuliko kampuni zote,.
 
Simu yangu ya kwanza kutumia ilikuwa nokia then samsung then tecno then huawei then huawei then samsung j1 ace hii ya sasa. Hakuna hata moja iliyowah kuvunjika kioo.
 
Samsung ana simu nzuri sana ila zinaongoza kwa kuvunjika vioo, shida ni nini ukilinganisha na simu nyingine kama tecno, huawei?

Je zipi ni hatua za kuchukua kuhakikisha kioo kinakuwa salama hata ikitokea imedondoka kwa bahati mbaya?

Karibuni kwa mjadala...
wacha uongo huo mchina...halaf cm co jiwe bweha ww...unataka hata ukigonga na nyundo isivunjike.
 
Back
Top Bottom