UFAHAMU JUU YA TEKNOLOJIA MPYA

UFAHAMU JUU YA TEKNOLOJIA MPYA

jiwemton

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
326
Reaction score
521
Nimekua na jambo linalonisumbua sana kuhusu hii technology yakua Mimi natumia simu yangu kwa mawasiliano alafu mwingine cjui anatumia App gani anapata kujua kila ninachowasiliana ivo Mimi kua Mic na yeye speaker. Naomba elimu kidogo juu ya jambo hii kwa faida ya wengine.
 
Haya mambo yapo hasa kwa simu za kisasa hizi.

Kuna softwares zinaitwa Spyware. Zinauwezo wa kudukua mawasiliano yako na kumtumia mtu mwingine bila muhusika kujua
 
Nimekua na jambo linalonisumbua sana kuhusu hii technology yakua Mimi natumia simu yangu kwa mawasiliano alafu mwingine cjui anatumia App gani anapata kujua kila ninachowasiliana ivo Mimi kua Mic na yeye speaker. Naomba elimu kidogo juu ya jambo hii kwa faida ya wengine.
Daaah, kwanza tuanzie hapa, kwenye hio profile pic ni ww???

hizi tips zinaweza kukusaidia

MTU ANAWEZA KUTRACK MAWASILIANO YAKO KWA NJIA ZIFUATAZO
1)Kufanya voicecall na sms forwarding. Yaan hapa kila sms au simu inayoingia kwako(uwe unatumia smartphone au simu ya kawaida) zinakuwa zinatumwa kwake mtu aliekufanyia hio call forwading.

Sasa unajuaje unachezewa huu mchezo???
-->Ili kufahamu inabidi upige namba hii(ussd code) kwenye simu yako *#21#, thn itaload info na kukutaarifu kama unafanyiwa call forwarding(hapa itakupa namba ya mtu anaekuchezea huu mchezo) na kama haufanyiwi call forwading itakwambia "call forwarding deactivated"

2)UTUMIAJI WA SPYWARE.
Spyware ni apps ambazo zinatengenezwa kuja kufanya spying(kupeleleza na kutuma ripoti) kwebye simu yako. Mara nyng hzi apps mtu anaziweka akioata kushika simu yako,na ww hautoweza kuiona kwenye list yako ya kawaida

3)UTUMIAJI WA OPEN (UNSECURED) WI-FI NETWORKS PAMOJA NA CARELESSNESS KHS BLUETOOTH
-According to my experience, watu wengi sana huibiwa passwords zao, sms, call history and other info kupitia matumizi ya open Wi-Fi networjs zinazokutwa kwenye mabasi, hoteli na sehemu nyngne. Hizi networks zinampa mwanya hacker au mtu mwenye utundu mdg tu kuiba data nyng sana zaidi ya unavyodhani. Pia watu webgi huchukulia poa bluetooth lkn inaweza kukufanyia majanga usiyidhani. Simu yyt ile ambayo iko paired kwenye bluetooth pamoja na simu yako inaweza kutumika kudukua mawasiliano yako mengi tu kwa kutumia tools mbalimbali. (Sitoenda deep sana coz tunaweza kutoelewana lkn ni vema kujua hivyo kiufupi iki kujilinda)

3)GLOBAL NETWORK VULNERABILITY
Hii iko advanced kdg lkn ntajitahidi kuelezea kiufupi na kwa kueleweka. Kwanza kabla ya kuendelea, fahamu kwamba hii njia ndio njia pekee yenye uhakika ambayo inaweza kutumika kudukua sms na calls za mtu yyt yule hapa duniani ambae anatumia mawasiliano ya simu bila end to end encryption.

Hii vulnerability inakutwa kwenye SS7(Signalling System number7). Iligundulika kwamba mawasiliano ya simu kwenye mitandao yote hapa duniani yanakubwa na hii weakness ambayo ipo kwenye protocol ya kusambaza signals za simu na sms. So kupitia hii weakness mawasiliano yyt yanaweza kuchukuliwa.

KUJIKINGA NA SS7 VULNERABILITY:
Tumia app zinazofanya encryption unapotuma sms na kupokea, coz hata mtu akipata mawasiliano yako yy hatoweza kuyaelewa coz yanakua encrypted(yamefubwafubwa)

4)MAC ADDRESS SPOOFING🙁Best way used to hack your whatsapp stuffs)
Hii nayo iko advanced lkn kiufupi ni kwamba mtu anabadilisha mac address ya simu fln ili apate mawasiliano ya simu lengwa.

Iko hivi!!!
Mac Address ni address ambayo ipo ktk kila simu na inatumika katika upokeaji wa media content kwenye whatsapp. Sasa ili mtu apate kupokea sms zako za whatsapp kwenye simu yake, atatafuta Mac address ya simu yako na kwenda kubadilisha mac address ya simu yake kwa kuireplace na yako. Yaan mac address ya simu yako inakuwa inatumika kwenye simu mbili(yako na ya mdukuzi) kisha mdukuzi anainstall whatsapp upya na hapo ataweza kupata data zako zote za whatsapp

(Hii nmeielezea kiufupi mno, lkn nadhan umepata picha fln)

Sorry for typing errors if any
 
Age 42
 
jiwemton Nakushauri uanze kwanza na hio oprion namba 1 coz nmeona kwenye uzi wa PC na devices jinsi ulivyoelezea issue yako, inaonekana kabisa ni call forwarding tu ndo unafanyiwa. Piga *#21# afu utoe feedback hapa utakachoona baada ya kupiga hio ussd code(it's a free service)
 
Kiongozi nitakutafuta unisaidie jambo flan

Asante sana ngoja nijaribu nitakapokwama ntakucheki tena

Safi bro. Ngoja niulize kitu,nmejaribu kutafuta mac address ya simu yangu nkafanikiwa kuiona ila kwa nlivyoona sijaona kama unaweza kuifanyia "editing" sasa hapo uliposema anachukua mac address ya simu moja kwenda kuiandika ( kama nimeelewa vizuri) inawezekanaje hapo!?

inawezekana mkuu. Ntakupa njia mbili zinazotumika sana, lakini inabidiuwe na rooted android device ili upata matokeo mazuri

1)Tumia app inaitwa "ChameleMAC" hii app iko simple sana kutumia sema inabidi tu uwe umeroot simu yako. Idownload kisha install then iitakuguide yenyewe

2)Hii njia ya pili inabidi uwe na ujuzi kdg kuhusu terminal emulator commands kwenye android. So root simu yako kisha install terminal emulator app ifungua kama super user na kisha andika commands zifuatazo

ip link set wlan0 address XU:NI:LI:LA:KL:AA

au

ip link set eth0 address XU:NI:LI:LA:KL:AA

where XU:NI:LI:LA:KL:AA ni MAc address mpya unayotaka kutumia. Sasa utajuaje kama utumia command ya kwanza (wlan0) au command ya pili (eth0),....... ili kujua hilo kwanza andika command 'ip link show' kisha angalia kwenye data zitakazokuja hapo chini kama hio MAC address yako imeandikwa mbele ya neno eth0 au wlan0, hio ndo itakuonesha kama utumie command ya kwanza au ya pili hapo juu.

NB:
1)USIWEKE TU RANDOM MAC ADDRESS, JARIBU KUTUMIA MAC ADDRESS GENERATOR APP COZ KUNA BAADHI YA INFO ZINATUNZWA KUPITIA MAC ADDRESS YAKO, SO UKIBADILISHA OVYOOVYO ITAKUZINGUA.

2)KWA BAADHI YA SIMU KAMA UKIBADILISHA MAC ADDRESS, ILE ADDRESS YA ZAMANI ITAJIRUDISHA ENDAPO UTAZIMA SIMU NA KUIWASHA TENA, SO INABIDI UWE UNAFANYA PROCESS YA KUBADILISHA MAC ADDR KILA BAADA YA KUWASHA SIMU KWA SIMU ZENYE HIO TABIA

3)KUMBUKA KUTUNZA ORIGINAL MAC ADDRESS YAKO ITAKUSAIDIA ENDAPO TATIZO LITATOKEA KWENYE PROCESS YA KUBADILISHA MAC ADDR

4)BADILISHA MAC ADDR ENDAPO TU KUNA ULAZIMA COZ UNAWEZA KUHARIBU SIMU YAKO AU UKAFANYA SIMU YAKO ISIWE INAKUBALI BAADHI YA WIRELESS COMMUNICATION KAMA VLE KUACCESS BAADHI YA APPS ZINAZOTUMIA INTERNET UNLESS UFANYE INSTALLATION UPYA.

5)THIS IS FOR EDUCATIONAL PURPOSE ONLY

Peace......
 
Asante sana naendelea kujifunza
 
jiwemton Nakushauri uanze kwanza na hio oprion namba 1 coz nmeona kwenye uzi wa PC na devices jinsi ulivyoelezea issue yako, inaonekana kabisa ni call forwarding tu ndo unafanyiwa. Piga *#21# afu utoe feedback hapa utakachoona baada ya kupiga hio ussd code(it's a free service)
Ukipiga hiyo namba katika list utakutana na SMS forwarding.... Hivi kuna SMS forward kwa ussd?
 
Back
Top Bottom