Jamii forum haikamati freebasic au nakosea wap?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Kila nikiangia freebasic jf naambiwa data charge my apply tatizo ni nini? Msaada wakuu
 
Apps ya freebasics inasumbua kuingia Jf kwahyo cha kufanya usiingie kutumia apps ,ingia kwa browser kama chrome,Firefox au operamin kwa kuandika www.0.freebasics.com zitakuja link mbalimbali utaiona hapo Jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom