omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Natafuta simu nzuri kwa offer ya 100k only kama unayo lete picture
Sawa bhana Mr confidential nimekuelewa!!!!Nenda tigo shop, Tecno s2 wanauza 83,000tshs . Kwa 100k yako unapata na chenchi