pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,535
- 4,944
Nataka nichukue mojawapo
Bei ni sawa i. e 650K kabla ya kodi
Bei ni sawa i. e 650K kabla ya kodi
brand ya xiaomi wako vizuri unaeza endelea kutumia hio simu hafi miaka mi5 bila kukusumbua bado unapata updates za kutosha, huawei wako vizuri ila wana kasoro moja ambayo storage chip zao ziko weak sana(emmc) hua zinakufa sanaNataka nichukue mojawapo
Bei ni sawa i. e 650K kabla ya kodi
Note 7 mkuu hiyo p20 lite sio level ya Note 7 mkuu.brand ya xiaomi wako vizuri unaeza endelea kutumia hio simu hafi miaka mi5 bila kukusumbua bado unapata updates za kutosha, huawei wako vizuri ila wana kasoro moja ambayo storage chip zao ziko weak sana(emmc) hua zinakufa sana
100%√√Note 7 mkuu hiyo p20 lite sio level ya Note 7 mkuu.
Nataka nichukue mojawapo
Bei ni sawa i. e 650K kabla ya kodi
Huwezi kuwa serious Silicon 659 unaipambanisha na SD 660 mi naamini kiufupi zaidi ya umbo kwa hiyo p20 lite hiyo hiyo note 7 kavu imeipita almost vitu vingi p20 lite bado Note 7 anachukuchukua ushindi usizungumzie redmi 7 ni note 7 na wala haufiki kwenye note 7 pro maana hiyo ni level nyingine.Tunapozungumzia note 7 naomba tuwe specific kabisa ni Note 7 plain au pro....kama ni Note 7 ya kawaida nashauri chukua p20 lite....lakini kama ni note 7 pro basi chukua redmi note 7 pro....note 7 pro ya kawaida tu....
Ni note 7Tunapozungumzia note 7 naomba tuwe specific kabisa ni Note 7 plain au pro....kama ni Note 7 ya kawaida nashauri chukua p20 lite....lakini kama ni note 7 pro basi chukua redmi note 7 pro....note 7 pro ya kawaida tu....
Chaguo zuri mkuu ila jiandae na KODI ya 20% ya pia unaweza usilipe maana kuna wenye kismart hawalipi wengine wanapigwa KODI na huu mtindo umeanza sikuhizi mkuu.Asanteni kwa ushauri
Nimechagua redmi note 7 kwa sababu ina fast charging wakati p20 haina. Mambo ya kucharge simu masaa mawili yameshapitwa na wakati
Nimelipa 490K aliexpress
Hivi kodi huwa wanaangalia nini hasaChaguo zuri mkuu ila jiandae na KODI ya 20% ya pia unaweza usilipe maana kuna wenye kismart hawalipi wengine wanapigwa KODI na huu mtindo umeanza sikuhizi mkuu.