Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Wapendwa nataka kujua EPSON TOLEO LA NGAPU NDO NZURI KWA AJILI YA KAZI ZIFUATAZO: Printing Copy Scanning Kusafisha picha za simu Kusafisha passport size Kutoa copy ya rangi Kwasasa sina...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Maelezo kuhusu taarifa Author,Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutokaBBC Dar es Salaam 26 Mei 2025 "Ndani ya nchi yetu Mungu ametubariki uraniamu (urania). Ni vyema kusimamia ule mradi wetu kule...
0 Reactions
2 Replies
456 Views
๐Ÿ˜ฎ ๐Ÿ™ƒ ๐Ÿ˜ณ ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฒ
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
0 Reactions
7 Replies
514 Views
Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor...
21 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari Wanabodi! Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama wiki tatu zilizopita niliunganishiwa umeme na TANESCO, ila kumekuwa na tatizo la low voltage hasa kuanzia saa moja usiku hadi saa tano au...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna kitu kimekuwa kikinichanganya sana wakati wa kutuma email. To:hapa ni mahali pa kujaza email add ya yule unayemwandikia. Cc: tangu zamani ni sehemu ya kujaza add ya mtumd email. Sasa ,Bcc...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Utaamua ununue Headphones au Gari ๐Ÿ˜!! Sio kwamba tunazungumzi Gari jamani!! Hapana Ni Headphones ๐ŸŽง tu nzuri za Hermes headphones ya ngozi iliyounganishwa kwa mikono yenye muundo maridadi wa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Toleo jipya la iOS 26 inaweza kuja na feature mpya ambayo inatumia Teknolojia ya Apple intelligence yenye kukuonyesha ni asilmia ngapi imebaki kwenye Simu yako ukiwa umechomeka chaji ili kujaa...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Katika Maendeleo ya Teknolojia Tanzania sasa tutaona Mabadiliko mbalimbali kwenye sekta hiyo ambayo baadhi ya nchi mbalimbali ulimwenguni zimepiga hatua kubwa kwenye uwekezaji wa kutumia Roboti...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa kidijitali, biashara nyingi Tanzania zinaanza kuelewa nguvu ya matangazo ya Facebook na Instagram. Lakini si matangazo yote yanayoleta matokeo. Ili matangazo yako yafanye...
3 Reactions
1 Replies
908 Views
Kampuni ya Samsung imeanza kutoa update ya mfumo wa One ui 7 ambao una muundo mpya wa android version 15 kwa Watumiaji wa simu za Galaxy A53. Wamiliki wa Galaxy A53 toka Korea walianza kupokea...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ