Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,349
- 2,757
Najua unatumia simu yako katika kufanya mambo Mbalimbali lakini Kuna feature ambazo ni muhimu kuzizina ikiwa wewe ni mmoja wa watu wanaopenda ku type kupitia keyboard kwenye simu.
Kuna kitu kinaitwa Autocorrect uwa kinasumbua wakati umeandika ujumbe wako ghafla unakuta inajibadili na kujiediti maneno ambayo ujaandika kabisa kwenye keyboard yako.
โ๏ธ Turn off Autocorrect
Kuna wakati ujaandika ujumbe wako vizuri unakuta keyboard ya simu yako inafanya kukubadilshia ulichokiandika na kukuta wamekuandikia ujumbe usiotarajia kabisa.
Zima kwa kufanya hivi ingia setting>> general > keyboard>> Zima Auto-correction.
โ๏ธ Turn off Predictive Text
Unaweza Zima feature hii ili kuweza kuandika ujumbe wako bila shida yoyote kupitia simu yako kwa kufanya hivi.
Setting >> General >> keyboard >> turn off Predictive text
โ๏ธ Turn off inline predictive text
Hii ni feature ambayo inatabiri Kila unachokiandika Sasa Kuna wakati inakera sana na kukufanya uandike usichotarajia kabisa ikiwa utaruka space utaona imetabiri neno usilotarajia.
Setting >> General >> keyboard >> show predictive inline weka off.
Baada ya hapo utaweza kutumia keyboard yako kwa amanj na uhuru mkubwa.