Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

KWANINI FENI YA KOMPYUTA YAKO INAPIGA KELELE KUPITA KIASI? NA NINI CHA KUFANYA Katika ulimwengu wa teknolojia, kuna tatizo ambalo watumiaji wengi huliona dogo lakini lina athari kubwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
488 Views
Watu wana shoot events zao kwa kutumia simu. Duh Biashara ni nzuri ukiwa unasimuliwa
28 Reactions
61 Replies
3K Views
Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems Introduction: After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
As we race toward 2030, one thing is clear: how people make money is going to change dramatically. The rules of work, business, and value creation are being rewritten โ€” and those who donโ€™t adapt...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
wakuu nina hii simu Nokia c31 niliiweka bila kuitumia muda kidogo sasa nimesahau password naomba msaada wenu mwenye kufahamu njia ya kufanya,ahsante.
1 Reactions
4 Replies
531 Views
Wakuu naomba maelekezo jinsi ya kutuma salio kwa jamaa mwenye Airtel kwa kutumia USSD code zinazoanza na * (star), kama ilivyo ya tiGo; yaani: *101*number*amount# {kisha send}. Naomba maelekezo...
0 Reactions
5 Replies
68K Views
Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
1 Reactions
4 Replies
359 Views
CPU NI NINI? Yote Unayopaswa Kujua Kuhusu โ€œCentral Processing Unitโ€ Na MALEKOGJ CPU ni nini? CPU ni kifupi cha โ€œCentral Processing Unitโ€ โ€“ ambacho kwa lugha rahisi ni ubongo wa kompyuta. Kazi...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
The ic on that big heat sink is shorting can not find the ic thus looking for the power control board Ic ambayo Iko kwenye hilo bati kubwa, (heat sink), imeungua nimeshindwa kuipata hiyo ic ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
No 5v on 5v out put there is a short circuit, take note the 5v regulator is ok 7805 Volti 5 hazipo na ukipima kwenye voltage regulator ya volti 5V, kuna shoti, nimejaribi kuvipima vipuli...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Leo nataka nizungumzie Namna 10 unazoweza kujihusisha nazo kwenye Blockchain Technology & CRYPTOs na ukapiga pesa. TAHADHARI: Mimi sio mshauri wa mambo yako ya kifedha. Mambo yote niliyoandika...
0 Reactions
4 Replies
709 Views
JE, PC YAKO INAWEZA KUAMBUKIZWA VIRUS KWA KUCHOMEKA USB? โ€œFree USB = Free Headache.โ€ Katika ulimwengu wa leo wa teknolojia, USB ports zimekuwa kama milango ya mtaa wa Kariakoo โ€“ kila mtu...
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Utajisikiaje unachaji kifaa chako mara moja tu kwa miaka 5,700 uchawi sio ๐Ÿคฃ!! ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ " ๐—œ๐˜'๐˜€ ๐—ป๐—ผ๐˜ ๐˜€๐—ฐ๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—ถ๐˜'๐˜€ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ณ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐—ผ๐—ณ ๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ด๐˜†", Wakiwa na maana kuwa hii sio Hadithi za...
0 Reactions
9 Replies
470 Views
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Familia ya Donald Trump imezindua mtandao wao wa simu, unaitwa Trump mobile pamoja na simu yenye rangi ya dhahabu ikiwa na Nembo ya Trump, T1 ambayo wanadai imetengenezwa amerika itauzwa dola...
1 Reactions
3 Replies
639 Views
Habarini wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
hello kama adstera account yako ina weekly payouts enabled na hauitumii nicheki PM, tuongee biashara!
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Habari zenu wakuu!! Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE...
31 Reactions
2K Replies
207K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ