Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu hivi kati ya TVS HLX 150 na Hero dawn 150 ipi bora?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wakuu leo nimependa kushea nanyi jinsi ya kufahamu kiwango radiations kutoka kwenye simu yako kama ni salama kwa kupiga namba *#07#. Ipo hivii unapo dail namba *#07# katika...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nahitaji msaada wa hivyo ndugu zangu najua humu hakishindikanagi kitu. Tecno SA1 unlocking imechezewa na mtu asubuhi imejiblock inadai patern
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataraji kununua king'amuzi cha Startimes, sasa najiuliza ni muda upi sahihi wa kulifunga 'dish' kama asubuhi au mchana au jioni au usiku? Hii ni kuepukana na 'poor signals'. Msaada tafadhali...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni games gani kali za offline za magari unazozikubali ambazo ziko na addition sana?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Nahitaji msaada kutoka kwa wale wazoefu wa internet transactions. Nimekuwa nikifanya purchases online either kununua bidhaa au kulipia huduma mbali mbali kwa muda wa miaka 6...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Habari zenu ndugu zangu. Naomba niende direct kwenye mada. Ila kwanza nimeweka picha hapo za kuonyesha specification za hii laptop yangu ya LENOVO THINKPAD T420 (Core i5) Historia fupi, hii...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Nmetokea kupata madini na software mbali mbali kutoka kwa warusi, Modem kibao wao ndio wanakuwaga wakwanza kuzifungua, kutengeneza calculator za kufungua vifaa mbali mbali, sptools, n.k yaani vitu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeona services nyingi mtandaoni na nikavutiwa na jinsi mambo yanavyokwenda kasi. Kuna concept mpya imeingia (actually sio mpya sana) ambayo inaitwa SIM hosting...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Baadhi ya list za USSD codes hapa Tanzania, wengine mnaweza mkanisaidia kuongezea. Vodacom, Tigo, Airtel, Zantel - Balance/Salio: *102# Tigo -Kopa Sekunde: *149*49# Tigo - Extreme: *148*01#...
0 Reactions
4 Replies
29K Views
Float switch ni switch inayotumia umeme inayofungwa ndani ya tank la maji ili kuzima na kuwasha pump pale maji yanapopungua ndani ya tank. Yaani ufanyaji wake wa kazi ni kuwa maji yakijaa kwenye...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
wakuu naoamba msaada wenu juu ya hii kitu sababu mm nimezowea kuwa nikikutana sehem inahitaji zip/postal code huwa naandika +255 au 0255 na mchezo unakuwa umekwisha lakini kuna softwere hapa...
0 Reactions
21 Replies
35K Views
Wakuu natumaini ni wazima wote. Flash yangu ilianguka ikiwa kwenye DVD player hivo kupelekea kutokusoma. Naomba anayeweza kunirekebishia tuwasiliane.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Umeme ni nini? Umeme ni mtiririko wa electrons,ndani ya conductor(kipitisho mfano waya). Kuna aina mbili za umeme 1.Umeme wa mkondo geu (Alternating Current) au AC Ni umeme ambao mtiririko wake...
5 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari Zenu Wakuu humu Ndani.. Naomba Msaada wa kufahamishwa jinsi ya kufungua Account ya bank online nina ID ya Taifa niko nje ya inchi ila sijafahamu namna ya kufungualia account...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, nimezoea kuzisikia crack za apps nyingi sana.. Vipi kuhusu thl app..! Kuna ambaye alishaweza kuicrack?
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Ni app gan nzuri ya kusikiliza online radio za Tanzania Najaribu Tunein inafail baadhi ya Radio. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za leo ndugu zangu. Poleni kwa majukumu ya kila siku, naimani mungu yu pamoja nasi katika mihangaiko ya kila siku na kutupatia riziki sisi sote. Ndugu zangu naomba kufahamishwa kuhusu...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Msaada wakuu namna ya kuondoa hiyo indicator Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam wakuu, Nilikuwa natafuta shirika la software development linalo patikana Mwanza. Ambapo naweza fanyia field, so kama unamiliki kampuni au unafaham kampuni ambapo naweza fanyia field...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…