USSD Codes za Mitandao Tanzania

USSD Codes za Mitandao Tanzania

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Baadhi ya list za USSD codes hapa Tanzania, wengine mnaweza mkanisaidia kuongezea.

Vodacom, Tigo, Airtel, Zantel - Balance/Salio: *102#

Tigo -Kopa Sekunde: *149*49#

Tigo - Extreme: *148*01#

Tigo Pesa: *150*01#

Tigo - Hamisha salio: *101*NumberYaSimu*KiasiChaSalio#
 
naomba mwenye kujua mmiliki wa ussd za hapa tanzania au kwa anayeweza kunisaidia kupata code ambayo itaingiliana kwenye mitandao yote
 
Baadhi ya list za USSD codes hapa Tanzania, wengine mnaweza mkanisaidia kuongezea.

Vodacom, Tigo, Airtel, Zantel - Balance/Salio: *102#

Tigo -Kopa Sekunde: *149*49#

Tigo - Extreme: *148*01#

Tigo Pesa: *150*01#

Tigo - Hamisha salio: *101*NumberYaSimu*KiasiChaSalio#
Kwa kukusaidia tu usichoshe ubongo kama una tumia simu ya android ingia play store search App inaitwa ATIZAVO
 
Baadhi ya list za USSD codes hapa Tanzania, wengine mnaweza mkanisaidia kuongezea.

Vodacom, Tigo, Airtel, Zantel - Balance/Salio: *102#

Tigo -Kopa Sekunde: *149*49#

Tigo - Extreme: *148*01#

Tigo Pesa: *150*01#

Tigo - Hamisha salio: *101*NumberYaSimu*KiasiChaSalio#
Mkuu naomba kupata ufahamu kidogo kuhusu kupata hizo codes na jinsi ya kuzitumia katika mitandao yote
 
Naomba ussd code ya ttcl internet for android
 
Back
Top Bottom