Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Nmetokea kupata madini na software mbali mbali kutoka kwa warusi, Modem kibao wao ndio wanakuwaga wakwanza kuzifungua, kutengeneza calculator za kufungua vifaa mbali mbali, sptools, n.k yaani vitu kibao nikisearch huwa nawapa jicho la umakini mno hawa viumbe.
Je nijifunze kirusi au nijifunze lugha ipi ambayo wanaoitumia wana madini mengi, Wavietnam nao wapo lwenye list sema wao wamejikita zaidi kwenye online marketing.
Je nijifunze kirusi au nijifunze lugha ipi ambayo wanaoitumia wana madini mengi, Wavietnam nao wapo lwenye list sema wao wamejikita zaidi kwenye online marketing.