Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS. When you ask for the Wifi password and connect successfully, the...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Fahamu Jinsi ya kuangalia Video za YouTube (Hata kama na kioo chako kimezima). Unataka kusikiliza video za YouTube hata kama skrini yako imezimwa? Hapa kuna jinsi ya kufanya hivi kwenye Android...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu, habari? Jana baada ya kuweka VPN nikapewa offer na YouTube kuwa na premium, inaonekana ni offer za Samsung Note Series offer ukiwa mashariki ya kati, maana naonekana niko Abu Dhabi. Baada...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tusaidiane hapo nitawezaje kupata namba hata moja Sina, zimefutika zote hata iliyobaki hakuna
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kampuni ya Apple Siku ya Jana imetambulisha Simu zake mpya aina ya IPhone 12 , ambazo zimezinduliwa katika miundo Minnie Tofauti (IPhone 12 Mini , Iphone 12 , Iphone 12 pro na IPhone 12 Pro Max)...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ningependa kujua naweza kuanzisha mastercard au visa card kwa papo hapo au lazima niwe na account kwanza na je bank ipi ni nzuri kwa mastercard.....
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu habari za bata na mihangaiko, uzi huu ni maalum kwa simu za Oppo, simu zinazojulikana kama Android Apple kutokana na kufanana sana na aApple kwenye operating system yake ile (Colour OS)...
2 Reactions
68 Replies
17K Views
Kutokana na siku za karibuni kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii, na kufanya watu wengi kutumia VPN, Basi wengi tumenufaika na matumizi ayo ya VPN maana tumepata kujua kwanza VPN ni nn lkn pia...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
Microsoft admits the Reset this PC feature on some Windows 10 computers can't work and offers a temporary fix. After receiving reports from users, Microsoft has investigated and officially...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je! Android Auto ni nini? Hapa kuna kile Unachohitaji Kujua[emoji848] Hivi ndivyo unahitaji kujua kuhusu programu ya Google ya ndani ya gari ambayo hukuruhusu kutumia simu yako ya Android...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi, naweza pata registration key for IDM version 6.33 tafadhali
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Remotasks I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti Remotasks. Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na...
11 Reactions
33 Replies
6K Views
Mimi ni mpenzi WA Javascript front-end natumia reactJs library and back-end natumia node.js with express.js Kama we ni mpenzi wa Javascript and it's framework uje hapa tubadilishane ujuzi.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
A virtual private network (VPN) is a great way to protect yourself online, especially on public hotspots. Opera is the first and only major browser to have a built-in and unlimited browser VPN...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
naombeni msaada wa jinsi ya kupakuwa nyimbo yani mp3 na video nina kaiphone 6 kangu hapa nataka kufahamu juu ya hilo asanteni......
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu wadau? Ni jinsi gani unaweza kuzuia mtu asiweze kudukua simu yako au aka ku track mienendo yako katika mitandao, yaani kama mtu anataka kuwa Ghost katika mitandao na katika simu yake...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu. Natarajia kufungua workshop kwa ajili ya wood, welding and aluminium works lakini kuna vitu nashindwa kudecide Kama vile brand ya machinery na what tools za kuanza nazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Mwenye uzoefu na hii simu naomba kujua pros and cons zake. Uzuri wake, changamoto yake, ukaaji wa chaji, camera nk Nina 350,000 nataka nivute hii kitu. Nakaribisha ushauri, hoja...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…